Kuhusu swala la expectations wala usiwaze maana viongozi wetu ni watanzania kama sisi na wanaelewa fika kuwa WaTz tunapenda vitu classic.
Jaribu kukumbuka renders za BRT, Madege, railway yenyewe, flyovers, bridges, n.k. So hawawezi kutuangusha kwa hilo, nianakuja nyoka moja mwenye sura mithili ya airbus vile, kwanza unadhani Dr. & Eng. Magu atakuelewa?
Kwa msisitizo: Watu wamekua wakitumia vitu classic namna hii tangu miaka ya 1990s then tuchukua uchafu wa 1960s? cheki kitu ya mwaka 2002
View attachment 1377438