We unaona nn iyo diesel train au[emoji3][emoji3]
Overpass km 193 [emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]View attachment 1375289View attachment 1375290View attachment 1375291
Hizo ndizo treni zenu officially
View attachment 1376138
Ile ya kifafa ndio imepigwa rangiWe unaona nn iyo diesel train au[emoji3][emoji3]
Kionjo wakati magu anaogopa kuvifungua makaratasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anhh bro hio bado tumewaonesha vionjo tu ngoma kamili inakuja tulieni basi plz musihare bado muda wa kuhara haujafika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona Yapi wasije na test trains za bullet unless hizi hapa ndizo za kwenu...ile kucheka nitacheki zikiwasili itabidi mkimbie humu kiasi.Akili hua haikai kwenye makalio🤣🤣👇👇👇
View attachment 1376473
Mihogo haswa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna cku niliwahi kukuambia humu kwmb usiichukulie poa mihogo ni chakula ambacho kwa sasa hukipati hovyo, mihogo ni the next game changer subr tuanze ku export huko kwenu muone mtakavyoigombania
SawaAnajenga reli ya bullet train lakini Anafanya test na gongo la konyagi? Hio ndio treni yenu.
Watu wengi hawatambui kuwa wananuka mdomo mpaka wakalishwe kitako au waone wenzao wanawakwepa kila wanapotaka kufungua mdomo waongee.
Vivyohivyo majirani zetu bado hawajatambua kuwa wamekuwa colonized na mchina mpaka waaibike kwanza ndio watakubali
Bro uko na hii link?
View attachment 1376654
Hvi unajua maana ya test trains unajua maana yake au wivu unakusumbua😁😁😁😁😁Mbona Yapi wasije na test trains za bullet unless hizi hapa ndizo za kwenu...ile kucheka nitacheki zikiwasili itabidi mkimbie humu kiasi.