Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hamna mafuta, na chai haina uwezo wa kuwapa pesa ya kujitosheleza kwa chakula, achaneni na chai na muanze kuzalisha chakula cha kutosha kwanza, hata hilo nalo mnataka tuwafundishe?, otherwise mtaendelea kufa na kudhalilika kwa kutegemea chakula cha misaada hadi mwisho wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpokonyeni dangote kile kiwanda cha saruji ndio mlime vyakula vya maana watu vijijini wanaumia sana na mihogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
💉💉💉💉 dawa itakuingia tu usijal
View attachment 1376374View attachment 1376375
Screenshot_20200302-105450.png
haif
Screenshot_20200302-105450.png
anani na hii iko kwa ground
 
Mpokonyeni dangote kile kiwanda cha saruji ndio mlime vyakula vya maana watu vijijini wanaumia sana na mihogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna cku niliwahi kukuambia humu kwmb usiichukulie poa mihogo ni chakula ambacho kwa sasa hukipati hovyo, mihogo ni the next game changer subr tuanze ku export huko kwenu muone mtakavyoigombania
 
Back
Top Bottom