Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Embu civil servants housing scheme
tapatalk_1583271458723.jpeg
tapatalk_1583271454108.jpeg
tapatalk_1583271449541.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo mada ww uliirukia tu, ilikuwa hv ngj leo nkuelekeze huenda hukuelewa ulichokuwa unaongea, ichoboy alitoa concern yke kwmb yale majengo ni overrated interms of floors, teargas akaja na concern ya kwmb yanaonekana vile kwasabu ya different angles they were taken na akatoa mfano wa picha ya ya KICC na jengo lingine ambalo ni refu kuliko KICC but on that picture KICC was seen to be taller than that the other building and he claimed it was seen like that because of angles they were taken, hapo ndpo mm nikaingza knowledge ya Geography nikamwambia zile buildings za GTC zipo karibu karibu huwezi kuongelea hbr za angles hapo nikampa na mifano ya types of photos according to the study, na baada ya hapo ndipo ichoboy nae akaongezea kuhusu Geography na angles, ss ww ulivamia hata kabla hukujua what we were talking about, na ndio mpk leo unabisha kitu ambacho hukufanya review mzee .
Huyo wewe muache anajifanya chizi dawa yake ya BRT inachemka nyie tulieni tu mutafurah na roho zenu namuandalia bomu zaidi ya GTC niliompa teargass😁😁😁😁😁
 
Hapo mkenya na Mke na Watoto wake wanajiona wanamiliki makazi!!! Hivi unatongoza Demu unampeleka kabisa sehemu kama hiyo na huyo Demu anakubali,kweli mademu wa Kenya is low quality

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimtongoza we mbongo atakuganda mrudi wote. Kwao kugumu kinoma. huku niliko wanakuja kununua parachichi na viazi wako wengi ad sio pw
 
Lakini wana mafuta mengi kupindukia yeneye thamani ya billions of dollars..upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hamna mafuta, na chai haina uwezo wa kuwapa pesa ya kujitosheleza kwa chakula, achaneni na chai na muanze kuzalisha chakula cha kutosha kwanza, hata hilo nalo mnataka tuwafundishe?, otherwise mtaendelea kufa na kudhalilika kwa kutegemea chakula cha misaada hadi mwisho wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Key word kununua......Mexico supplies 70% of fruits and vegetables to USA without much drama. Why do tanzanians personalize everything.....lol.Hii page imefanya mnacatch feelings sana.....but even a fool knows Kenya is better than all countries in East and central Africa despite our shortcomings.
Ukimtongoza we mbongo atakuganda mrudi wote. Kwao kugumu kinoma. huku niliko wanakuja kununua parachichi na viazi wako wengi ad sio pw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom