Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,704
Imagine hiyo ni Webuye. Tuonyeshe kama hiyo ya Arusha ama Mwanza 😂 😂 😂 😂Hahaha, eti interchange?, hivi mnajua maana ya neno "Interchange", Kenya haitoweza kujenga "Interchange" ndani ya kipindi cha miaka 20 ijayo, mtaendelea kujenga hizo flyovers zenu za vichuguu pekee
Sent using Jamii Forums mobile app


