Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20200227-121707_Instagram.jpg
 
Mnamwaga povu juu ya facts from IMF ,the question is why does the amaizing heaven that is Tanzania having a gdp lower than ghana .Halafu ati gdp haikuliwi ,,,if tanzania hap a gdp of 109 hatungepata usingizi ..I know what kenyas debt ratio is .I live in kenya
Ushawa jua Kenya debt to GDP ratio ni ngapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamwaga povu juu ya facts from IMF ,the question is why does the amaizing heaven that is Tanzania having a gdp lower than ghana .Halafu ati gdp haikuliwi ,,,if tanzania hap a gdp of 109 hatungepata usingizi ..I know what kenyas debt ratio is .I live in kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali kwasababu swali langu ni gumu sana sasa nikupe taarifa fupi hio GDP hata ingekua 200b bado kwenye hio GDP kuna deni over 65% 🤣🤣🤣
 
Unapenda kujihami sana..sasa unataka niposti nini!????..wakati 80% ya nairobi ni slum,10% ni miti na vichaka,5% roads na 5% ndo hizo hostel na nyumba za European population..
Unataka niposti hostel zenu zipambane na hapo magomeni ambapo actually huishi watu wenye kipato duni...hey be reasonable!
Mbona Mnataka tufanane jamani?
images(320).jpg
images(329).jpg
images(304).jpg
images(306).jpg
images(322).jpg
images(326).jpg
images(327).jpg
c8e182c9b8924d285bca70268f7bfc6a.jpg
images(346).jpg
images(348).jpg
images(344).jpg
images(340).jpg
images(338).jpg
images(337).jpg
images(336).jpg
images(334).jpg
images(335).jpg
5fcb4b4e56988000ce83e557f9317781.jpg

Dar
images(342).jpg
images(341).jpg
 
Back
Top Bottom