Kwenye sector ya umeme, maji, barabara, airports, ports Tanzania tunayo miradi mingi kuliko miradi yote iliopo kwenye nchi zote za ukanda huu
Kama unataka ucheke waambie wakenya walete miradi yao ya barabara yenye urefu zaidi ya kilometers 100 kutoka kwenye counties mbali mbali, wakikuletea miwili tu naondoka jf leo hii
Msijifanye kututoa kwenye list Dar hatuna Mpinzani Ea, Ethiopia ni ligi yetu maana tunafanya vitu vya kuiinua Ea! Tramways, Electric train, Tall buildings za kisasa utazipata Dar na Addis tu nyie Nairobi na Nigeria mnatuzingua kufanya mi vitu ya kizamani kwenye karne ya kisasa mnaumwa nn?? Eti Ethiopia wanakuja .. wanakuja na wanawapita nyie vipi??
Kesho tunaomba Wakenya mckimbie uzi km leo tutapunguza sindano ili battle icpoteze uhalisia mapema, tunataka muwepo humu wakati wanaume tunazindua lile joka la umeme tofauti yetu na nyie ni moja tu, nyie hamna jipya mnakomaa na maghorofa yenu uchafu cc tunawapiga na miradi itakayoleta maendeleo ya kweli Wazee wa westie mpoo!! daadeki ghorofa moja angle 100.
Kwenye sector ya umeme, maji, barabara, airports, ports Tanzania tunayo miradi mingi kuliko miradi yote iliopo kwenye nchi zote za ukanda huu
Kama unataka ucheke waambie wakenya walete miradi yao ya barabara yenye urefu zaidi ya kilometers 100 kutoka kwenye counties mbali mbali, wakikuletea miwili tu naondoka jf leo hii
Challenge accepted and forwarded!
NOTE: Lamu-Mombasa-Lungalunga Highway disqualified as it is a regional project! Lamu-Ethiopia Road is also disquaified as it is a regional road! So is Isiolo-Mandera road!
Kesho tunaomba Wakenya mckimbie uzi km leo tutapunguza sindano ili battle icpoteze uhalisia mapema, tunataka muwepo humu wakati wanaume tunazindua lile joka la umeme tofauti yetu na nyie ni moja tu, nyie hamna jipya mnakomaa na maghorofa yenu uchafu cc tunawapiga na miradi itakayoleta maendeleo ya kweli Wazee wa westie mpoo!! daadeki ghorofa moja angle 100.
Kwenye sector ya umeme, maji, barabara, airports, ports Tanzania tunayo miradi mingi kuliko miradi yote iliopo kwenye nchi zote za ukanda huu
Kama unataka ucheke waambie wakenya walete miradi yao ya barabara yenye urefu zaidi ya kilometers 100 kutoka kwenye counties mbali mbali, wakikuletea miwili tu naondoka jf leo hii
24Feb 2020
The Guardian Reporter
Mkuranga News
The Guardian
Coast Region cited for 40bn/- gas tank plant
A MULTIPURPOSE gas tank manufacturing factory is to be set up in Mkuranga District in Coast Region at an estimated cost of USD25 million (over 40bn/-).
Angellah Kairuki, the Minister of State in the Prime Minister’s Office (Investment) said in Dar es Salaam at the weekend that Egyptian firm, Supreme Holdings chief executive officer Dr Moharram Helal is set to start building the plant.
The move is expected to end reliance on imported tanks when the plant became operational, but the minister did not give the time frame for the construction of the plant and start of production.
It is expected to employ about 300 local staff and up to 30 expatriate managers and technicians from Egypt when it starts production, she stated.
The plant will produce 1,000 tanks daily and fill with gas 3,000 tanks with capacity ranging between 15 and 30 kilogrammes daily, she said, pointing out that the government has asked the investor to consider producing tanks with capacity below 15kgs.
“We consider a plant of this nature a vital strategic investment. Once it becomes operational we shall no longer import such tanks. So this is an important area of investment in our agenda to make Tanzania a middle-income industrial country by 2025,” she said.
“We have assured him Tanzania is the right place for rewarding investments and I have encouraged him to deal directly with the TIC,” she further asserted.
The Tanzania Investment Centre (TIC) ought to give the investor all the necessary help, the minister underlined, using the occasion to ask all investors to deal directly with the TIC, instead of using middlemen for issues like land allocation and issuance of various clearances.
Dr Helal thanked the minister for the cooperation accorded to him, saying Tanzania was a good place for investment, pledging to build the plant speedily.
“We have come to Tanzania because we have a wealth of experience in this area. Once the procedures are completed, we shall built the plant in a short period and roll out tanks,” he declared, flanked by Intergas general manager, Dr Hatem Ahmed.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.