The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Taratibu utaelewa tu [emoji3][emoji3]Hehe hapo siwezi mtetea.....it's obvious we have useless leadership
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu utaelewa tu [emoji3][emoji3]Hehe hapo siwezi mtetea.....it's obvious we have useless leadership
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hiyo ya majaribio ni bomba kuliko ile yao ya KenyaLocomotives ya majaribio inayomilikiwa na yapi merkezi ndio unaiita Sgr Tz locomotives [emoji23][emoji23][emoji23]
Au hukuona walivyokuwa wanaitumia kule Ethiopia pia?
Na unaweza kuta mnaoneshana kwenye simu zenu hapo Kunyaland.
Mitungi ya changaa 😂😂😂
we acha tu, jirani wana jongoo halijui lianze na mguu gani 😁😁Kuna kitu kinanambia kuwa hilo joka hapo kwenye pic ndo design itakayoletwa
SGR ya kenya ni total bullshit. Fedha nyingi sana zimetumika kutengeneza vitu visivyo na umuhimu. Mistesheni mikubwa porini, haya na hiyo observation tower kwenye station ya mombasa sijui nani hata anapanda huko juu. Hata kwenye hydroseeding wameweka cement ndo wakapanda majani yaani ni vitu vya kijinga hapo hela imeishia tena usikute baadhi ya fedha zilichakachuliwa wakubwa wakamega kidogo. Eti modern sgr......mitungi inayosafirisha watu ndio hii. Ni aibu tupu yaani wenye ngozi nyeusi ndio mambo yetu yanakuwa ya kijinga na viongozi wetu hao hao ndio wanafanya hivi. Angalia Morocco halafu angalia na kunyalandStations ni kweli nzr ila ilo dude linalotoka hapo ss [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1362114
Nilipigwa ban baada ya kuleta Uzi wa namnagani serikali ya Kenya imeusika kuwekewa vikwazo Na marekani ,Nilitaka kushusha nondo hatari kwenye huo Uzi ,[emoji3][emoji3][emoji3] lwiva ulikuwa wp mzee group lilipoa hili
[emoji3][emoji3][emoji3] pole sana, ss tuendelee na uzi tuwakimbize hawa mbuzi wa humu.Nilipigwa ban baada ya kuleta Uzi wa namnagani serikali ya Kenya imeusika kuwekewa vikwazo Na marekani ,Nilitaka kushusha nondo hatari kwenye huo Uzi ,
Kunasiku nilisema hapa majeshi ya Kenya yalikimbia baada ya al shabbab kuvamia kambi ya jeshi Kenya na USA na kuua wamarekani nikaonekana muongo nikala BAN baada ya siku chache repoti kutoka kwa wamarekani wenyewe ikatoka kuwa wanajeshi wa Kenya walikimbia na kujificha maporini tena habari ya chini ya kapeti zinasema kdf 20 walikimbia wakiwa uchi maana walikuwa wanaoga kama mang'ombe pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
we acha tu, jirani wana jongoo halijui lianze na mguu gani [emoji16][emoji16]
Halafu wachina walivyo washenzi wamewawekea bendera mbele ili kuwatangazia dunia iwacheke vizuri, huna haja ya kuuliza hivi hawa vilaza ni wa wapiSGR ya kenya ni total bullshit. Fedha nyingi sana zimetumika kutengeneza vitu visivyo na umuhimu. Mistesheni mikubwa porini, haya na hiyo observation tower kwenye station ya mombasa sijui nani hata anapanda huko juu. Hata kwenye hydroseeding wameweka cement ndo wakapanda majani yaani ni vitu vya kijinga hapo hela imeishia tena usikute baadhi ya fedha zilichakachuliwa wakubwa wakamega kidogo. Eti modern sgr......mitungi inayosafirisha watu ndio hii. Ni aibu tupu yaani wenye ngozi nyeusi ndio mambo yetu yanakuwa ya kijinga na viongozi wetu hao hao ndio wanafanya hivi. Angalia Morocco halafu angalia na kunyaland
View attachment 1362135View attachment 1362136
Wakasema electrification after 4 years.....but.......Halafu wachina walivyo washenzi wamewawekea bendera mbele ili kuwatangazia dunia iwacheke vizuri, huna haja ya kuuliza hivi hawa vilaza ni wa wapi
Stations ni kweli nzr ila ilo dude linalotoka hapo ss [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1362114
Okay, did they make a deal? Hizi ndio level zetu sasa