babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,303
- 35,726
GDP ya kwenye makaratasi ya kufungia vitumbua 😂😂😂Utaskia wanakuja kesho kukwambia mambo ya GDP🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Ndo nlikuwa nmemuuliza wapi hyo af ole wake angesema Dar ningemwaga mavi kwa mikono yng miwili...Ukiniletea kithibitisho kua hio picha ya kwanza na yatatu ni dar mm nafunga account jamii forum mark my words[emoji1787][emoji1787][emoji1787] endelea kuokota picha za Google useme dar
Leo mkuu naona umeweka vitu vipya kabisa vyamotoo hehehehee
Mhh huyu Magu anazd kuvunja rekodi yn anaijenga Roma kwa ucku mmoja [emoji3][emoji3]Hii nchi inajengwa kimya kimya[emoji116][emoji116][emoji116]
Magu effect, kawaharibia mambo mengi sana na anazd kuwatesa ucku na mchanamiaka mitatu nyuma, kenya walivuma sana utalii hasa kupitia KQ, ni mda wetu sasa! holla to TTB
Wanataka iwekwe lami [emoji3][emoji3][emoji3]Juzi Teargass alikuja akishangikia kuona ndani ya craters njia imeharibiwa na mvua
Huyu ni magufuli bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]