ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Aliekwambua nani🤣🤣🤣👇👇👇Iko wapi mbna hatuoni evidence inajengwa
Total pulled out of the deal
Aliekwambua nani🤣🤣🤣👇👇👇Iko wapi mbna hatuoni evidence inajengwa
Total pulled out of the deal
Alafu Nairobi bus stage iko hvi🤣🤣👇👇👇Machakos county toilets are better than that cowshed you call a station.View attachment 1358032View attachment 1358033View attachment 1358034View attachment 1358035
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbona mnawivu sana unaambiwa project imeshaanza wewe kazi yako ni kubishana na ukweli.wakati mwingine kwenye ukweli unabidi tu ukubali pamoja kuwa itakuwa inakuuma moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app


Wazee wa kuhesabu floors wamelia sana this time hawaamini🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado wataendelea kubisha
Nyumbu ni nyumbu tu hata akielekezwa vipi hawezi kuelewaView attachment 1358241View attachment 1358244
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bd analipa mishahara kwa wakati na anaejeng hospital kilaa mahalaa na mengine mengi kam miradi mikubwa ya maji Mungu ibariki tanzania Mungu mbariki magufuli kazi nzuri sanaNonsense naona umekuja na maneno ya vijiweni hapa
Toka kaingia madarakani miaka 4
Modern electric bullet train in Africa dar to singida 3.1b usd
Tazara fly over 50m usd
Ubungo interchange the biggest interchange in east Africa 120m usd
JNHEP the biggest electric dam in east africa 2.9b usd
Purchase of 11 brand new aircraft 700+m usd and 3 aircraft in order this year TOTAL of 14
Another giant cable stayed bridge salender bridge 7km more than 120+m usd
Modern BRT in Africa phase 2 more than 120m usd
Mbezi kibaha super highway 8 to 12 lanes more than 60m usd
Mwenge Morocco highway 9 lanes more than 40m usd
Dar port, mtwara port and tanga expansion 1b usd
Kilombero bridge 380meters 25m usd
Dar ultra modern bus stage in east and central Africa 25m usd
Kinyerezi 1 expansion kinyerezi 2 and 3 more than 800m usd
Rehabilitation of meter gauge from to Isaka more than 300m usd
Rehabilitation of meter gauge dar to tanga and arusha 50m usd
Construction of biggest ship in east Africa 35m usd
Niendelee au![]()


ngojeni ikamilike hicho kitu ni hatari
Unauliza swali au jibu🤣🤣🤣👇👇👇Hela za Koroshow wakulima walilipwa?
Hela za Koroshow wakulima walilipwa?
Arusha kwasababu mwanza sio level yenu🤣🤣Niambie kuna city gani Tanzania isipokuwa dar ambayo inashinda kisumu
wapi air condition kama station za SGR Tanzania?Machakos county toilets are better than that cowshed you call a station.View attachment 1358032View attachment 1358033View attachment 1358034View attachment 1358035
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema ukiwa Puma filling station utaona 37 floors? 😂 😂Upande wa kushito ni bondeni kuna more floors chini. Ukiwa Puma Filling station utaona vizuri .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Here are some of the major buildings in Nairobi:Nairobi ya sky scraper za mabeberu bora sisi hata mitandaoni watu wakiuliza ni zanani tunasema ni zetu za watz, kile chenye mkenya ana miliki Nairobi ni slum tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Here are some of the major buildings in Nairobi:
1. Britam Tower - Owned by a Kenyan insurance company
2. UAP Tower - Owned by UAP Old Mutual, an insurance company with majority Kenyan shareholding
3.Times Tower - 100% owned by the Kenyan government
4. Prism Tower - Owned by Kings Developers, a fully -kenyan owened real estate developers
5. Telposta Towers - Owned by Telposta Pension Scheme, a 100% Kenyan company
6. Le'mac Tower - Owned by Mark Properties, a property development company in Kenya
7. GTC - Owned by Avic International, a Chinese company
8. KCB Plaza - 100% Owned by Kenya Comercial Bank
9. KICC - 100% owned by the Kenyan government
10. NSSF House - Owned by NSSF, a Kenyan pension scheme
11. I&M bank Tower - Owned by Investment & Mortgage Bank, a Kenyan commercial bank.
I can go on and on but let me stop here for now
Note: All these buildings were built post independence. Hizo za wabeberu ziko wapi?


ukiongeza na hizi mbili.. unakubali kuwa zinakuwa zimezidi 35???
View attachment 1358303
Arusha yenyewe hawaiwezi.......Arusha kwasababu mwanza sio level yenu![]()
ukiongeza na hizi mbili.. unakubali kuwa zinakuwa zimezidi 35???
View attachment 1358303
na mbona juu ya floor namba one kuna ka-floor kengine hamkahesabu?