Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soga station👇👇👇🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Screenshot_20200214-230255_YouTube.jpg
Screenshot_20200214-230315_YouTube.jpg
Screenshot_20200214-230239_YouTube.jpg
 
mambo yameaanza kunoga

reli tu inavutia, bado treni zenyewe
ben mwanantala ni mbea sn, huwa ananchekesha sn, by the way hzo sub stations zna mwonekano mzr mno kwakweli.

Ila bdo najiuliza pale main station, render inaonesha majengo mawili, moja refu lingine fupi, mbn mm naona limejengwa moja tu? Mwenye ufahamu plz
Cc: ichoboy01 Gezaulole NDINDA
 
ben mwanantala ni mbea sn, huwa ananchekesha sn, by the way hzo sub stations zna mwonekano mzr mno kwakweli.

Ila bdo najiuliza pale HQ, render inaonesha majengo mawili, moja refu lingine fupi, mbn mm naona limejengwa moja tu? Mwenye ufahamu plz Cc: ichoboy01 Gezaulole NDINDA
Lingine ni HQ za TRC litajengwa pembeni yake ni floor 8
 
Af hz fununu za ujenzi wa commuter rail hapa Dar zilizo ktk kiwango cha sgr leo ndio nimegundua zina ukweli cz kuna mahali nilienda leo nikakuta nyumba nyingi zmechorwa alama nyekundu zenye maandishi ya SGR 354, SGR 602,.....
Nadhani mwenye details za hii kitu ingekuwa vyema akatujuza.
 
Inasemekana ujasiri wa wakazi wa kibera kuhimili kuishi kwenye mabati unatokana na ulaji wa samaki kutoka Mombasa
Screenshot_2020-02-15-00-13-56.jpeg
g(4+5)t everybody.
 
Imeanza kwenye ground are u sure ??🤣🤣🤣
Wewe nilishakuambia kwamba ujinga wako ni wa kuzaliwa. So unajifanya huoni hata hiyo nyasi hapo chini kuashiria kwamba hiyo ni ground level?? And what about that wall (ukuta) that I have marked with a blue dotted line?? Can't these tell you that that's ground level? Arguing with a fool is one hell of a job!
PhotoGrid_1581716944525.jpg
 
Back
Top Bottom