Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nilishakuambia kwamba ujinga wako ni wa kuzaliwa. So unajifanya huoni hata hiyo nyasi hapo chini kuashiria kwamba hiyo ni ground level?? And what about that wall (ukuta) that I have marked with a blue dotted line?? Can't these tell you that that's ground level? Arguing with a fool is one hell of a job! View attachment 1357987

IMG_2170.JPG

Hebu hesabu na hiyo?

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Debt to GDP ratio Tanzania is 38 and Kenya is over 60🤣🤣🤣🤣🤣

Below poverty line Tanzania 28% and Kenya 46%

Unemployment rate Tanzania 12% and Kenya 40%

Tanzania no hunger, Kenya njaa ndio ilipozaliwa

Tanzania less corruption, Kenya is in top 10 of countries with corruption in the world

Niendelee au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hela za Koroshow wakulima walilipwa?
 
Hapa ni kabla Zile 3 buildings zikamilike...Alafu kumbe dar ni ya sky scraper 3 ndefu zaidi na 6 za kawaida tu! Keep on posting pics that debunk your claims ati dar ni kubwa
Nairobi ya sky scraper za mabeberu bora sisi hata mitandaoni watu wakiuliza ni zanani tunasema ni zetu za watz, kile chenye mkenya ana miliki Nairobi ni slum tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nilishakuambia kwamba ujinga wako ni wa kuzaliwa. So unajifanya huoni hata hiyo nyasi hapo chini kuashiria kwamba hiyo ni ground level?? And what about that wall (ukuta) that I have marked with a blue dotted line?? Can't these tell you that that's ground level? Arguing with a fool is one hell of a job! View attachment 1357987

acha kujiaibisha dogo.. hili jengo liko chini zaidi ya level ya hio barabara unayoiona.. alfu ni ajabu sana mtu yupo kenya anabishana na mtu anaekaa Dar na anapita hapo kila siku
upande wa kulia vioo vimeishia usawa wa barabara..
IMG_1581747124.748263.jpg

lakn huu upande wa kushoto, unaweza kuona vioo wa kulia vilivyo upande wa kushoto... then kuna floors mbili chin ukicompare na usawa wa barabara (ambazo hazina vioo)
IMG_1581747234.281857.jpg
 
Back
Top Bottom