Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana....
Huu mzigo haujapishana na renders wametoa mulemule...Yote 9 kumi treni ziwe dope tu,Ntaumia sana tukiletewa Mitungi ya Mbege kama ya KE Madaraka Express

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mtungi wa chang'aa hauwezi kupita kwenye njia hii
Screenshot_2020-01-30-01-08-28.jpeg
 
"Ona jinga hii", eti civilazation ni kuishi kwenye apartments za suburb, angalau zingekuwa downtown ningekuelewa.
So Mnataka tuishi kwenye a
squalors aka dream houses kama nyinyi!? Jamani mbona mnataka tufanane?
 
Kweli bro hizi zetu double stack zitaharibu reli yenyewe kwa kuwa Hii yenu ni of inferior quality. Kabla ukutupuke, hii reli ji double stack ama ni ya kubeba ka-container kamojoa kamoja...mtajaza za kufika Uganda lini?
Presha imepanda mpk unakosea kuandika
 
Kweli bro hizi zetu double stack zitaharibu reli yenyewe kwa kuwa Hii yenu ni of inferior quality. Kabla ukutupuke, hii reli ji double stack ama ni ya kubeba ka-container kamojoa kamoja...mtajaza za kufika Uganda lini?
kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
mkenya atakayeidharau Tanzania ya leo, atakuwa anafanya makosa makubwa...especially baada ya Magu kuingia mamlakani...Tanzania hii si ile ya zamani...ona tu treni mnazoletewa...ona tu zile bridges....na cha kushangaza ni kwamba, bei ya SGR yetu ya zamani na iliyojaa moshi ni ghali kuliko yenu ya stima...duh itakua kama ulaya vile...mimi sijui wakenya watatokomea wapi itakapokamilika...itakua aibu kubwa sana kwetu especially tunavopenda kuwakandamiza wengine wakati mwingine...😀😀SGR TZ nimeipa tick...sasa mjaribu na station pia ziwe zina match hizi picha..
 
acha kujiaibisha dogo.. hili jengo liko chini zaidi ya level ya hio barabara unayoiona.. alfu ni ajabu sana mtu yupo kenya anabishana na mtu anaekaa Dar na anapita hapo kila siku
upande wa kulia vioo vimeishia usawa wa barabara..
View attachment 1358123

lakn huu upande wa kushoto, unaweza kuona vioo wa kulia vilivyo upande wa kushoto... then kuna floors mbili chin ukicompare na usawa wa barabara (ambazo hazina vioo)
View attachment 1358125
Huyo ni kilaza wa level nyingine 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom