Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

U r among the dumbiest zombie to think that Tanzanians can't afford apartments, N u were the one hu said something abt exposure...those apartments are nothing to brag abt

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni kabla Zile 3 buildings zikamilike...Alafu kumbe dar ni ya sky scraper 3 ndefu zaidi na 6 za kawaida tu! Keep on posting pics that debunk your claims ati dar ni kubwa

Umechemka, katika picha hizo hamna Hizo Tower tatu unazozijua wewe . The photo show buildings along Bagamoyo Road , Away from Dar CBD. Photos were taken Two years ago .

Adjustments.JPG

Adjustments.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sisi tuna GDP kubwa 😁😁😁👇👇👇👇

Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.

Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90

Wakati huo.

Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.

Utekelezaji wa budget haujawai kufika 75 ya makadirio kwa kila mwaka,

watanzania wanaotumia umeme hawajafika hata 30%

watanzania wanao tumia maji safi na salama hawajafika hata 50%

pesa inayopelekwa kwenye kilimo ambacho 80%ya watanzania wanakitegemea haifiki hata 1 trion kwenye budgeti ya 30 trion.

Viwanda bila umeme bila maji bila kilimo?

Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.

viongozi wa ccm mkiongozwa na Magufuli Mnatakiwa kupisha pembeni hamna tija kwa nchi.
 
Nonsense naona umekuja na maneno ya vijiweni hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Toka kaingia madarakani miaka 4

Modern electric bullet train in Africa dar to singida 3.1b usd

Tazara fly over 50m usd

Ubungo interchange the biggest interchange in east Africa 120m usd

JNHEP the biggest electric dam in east africa 2.9b usd

Purchase of 11 brand new aircraft 700+m usd and 3 aircraft in order this year TOTAL of 14

Another giant cable stayed bridge salender bridge 7km more than 120+m usd

Modern BRT in Africa phase 2 more than 120m usd

Mbezi kibaha super highway 8 to 12 lanes more than 60m usd

Mwenge Morocco highway 9 lanes more than 40m usd

Dar port, mtwara port and tanga expansion 1b usd

Kilombero bridge 380meters 25m usd

Dar ultra modern bus stage in east and central Africa 25m usd

Kinyerezi 1 expansion kinyerezi 2 and 3 more than 800m usd

Rehabilitation of meter gauge from to Isaka more than 300m usd

Rehabilitation of meter gauge dar to tanga and arusha 50m usd

Construction of biggest ship in east Africa 35m usd

Niendelee au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65.

Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90

Wakati huo.

Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna wakati walimu hawatoshi.

Utekelezaji wa budget haujawai kufika 75 ya makadirio kwa kila mwaka,

watanzania wanaotumia umeme hawajafika hata 30%

watanzania wanao tumia maji safi na salama hawajafika hata 50%

pesa inayopelekwa kwenye kilimo ambacho 80%ya watanzania wanakitegemea haifiki hata 1 trion kwenye budgeti ya 30 trion.

Viwanda bila umeme bila maji bila kilimo?

Pesa za walipa kodi zinatumika kununua wapinzani chadema na ACT.

viongozi wa ccm mkiongozwa na Magufuli Mnatakiwa kupisha pembeni hamna tija kwa nchi.
Debt to GDP ratio Tanzania is 38 and Kenya is over 60🤣🤣🤣🤣🤣

Below poverty line Tanzania 28% and Kenya 46%

Unemployment rate Tanzania 12% and Kenya 40%

Tanzania no hunger, Kenya njaa ndio ilipozaliwa

Tanzania less corruption, Kenya is in top 10 of countries with corruption in the world

Niendelee au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom