Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
mpuuzi tu na ni mshenzi mshamba wa nairobiHaya siikia point ya huyu....nonsense..😀😀😀
mpuuzi tu na ni mshenzi mshamba wa nairobiHaya siikia point ya huyu....nonsense..😀😀😀
safi sana hawa majamaa wakikenya ...aisee bora mimi nisingekuwepo kwa hii thread ....kwani nitawapa shombo mwanzo mwisho wakijikweza tu ninao.....wakenya ni wapuuzi....Daaaaaaah! Astaqfirullah!! yaani imefika hii level!? Naona hiyo pombe imekuchafua, Kheri uendelee na ile ya Kilimanjaro!!!
Ukweli huo, sina nyumba Nairobi mimi!! Natafuta mihela nitanunua tu, haina mushkil!! nikishindwa na rudi kwetu Kitale bado nikubomba tu!
Ya kule namalizia, ntakuita kuifungua!!
![]()
wewe MZEE WA IQ acha ushamba .....hii dunia na sisi ndiyo yutakufunza......haunaWhen Nairobi goes full glass
![]()
huyo jamaa ni pumba .....hawajui kama hata chanzo cha kupata wao uhuru pia ni TZ inahisika ...kweli wakenya ni konokono ...hivi kwanin hawajiulizi kwanini Tanzania haina tabaka la kuchukiwa hapa africa na dunia nzima tofauti na wao...tulicopy vp wakat south Africa sisi ndio tumewapa uhuru .....😀😀😀😀😀 Tanzania got independence 1961 south Africa 1994...
nimegundua kuwa wewe ni mtanzania mwenzangu, lakini pia ni mgeni hapa kenyaforum.hivyo basi kwa kuwa mimi ni mwenyeji mzoefu hapa KF,nachukua fursa hii kukukaribisha rasmi,karibu sana.Hahahahaaaaa. TENANT FOR LIFE! Ki ukweli mji wowote wenye life tenants ndio wenye mabepari wengi, lakini ndio ulioendelea zaidi ya mji ambao kila mkazi anaishi kwenye nyumba yake.
kwa sababu hiyo tukiangalia hili tutajua ni mji upi uko juu ili huu mjadala ufikie mwisho
je wew waishi huko.....je babu zako na wazazi wako wapo hapo....je wew ni mwanafunzi mpaka huishi kwenye hizo nyumba mfanano za boss moja je nyumba za mkenya mmoja mmoja mmeziweka wapi...je hivi wakenya nyie ni njaa kiasi hicho.....Nairobi
![]()
![]()
![]()

dah kweli njaa kwa wakenya naniumaskini.......je hizo apartment wale wakibera wengi wa umaskin ndiyo wanaweza kuishi huko ama kwa walionazo......Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna tofauti kubwa sana kati ya homeless na tenancy life. Pia tofautisha kuishi kwenye slums na kuishi kwenye nyumba yako. Mara nyingi slums sio nyumba za kudumu, so usizihesabu kama ni nyumba. wanaoishi kwenye slums hawatakiwi kuitwa tenants au landlords. Bila shaka nimejibu maswali yakonimegundua kuwa wewe ni mtanzania mwenzangu, lakini pia ni mgeni hapa kenyaforum.hivyo basi kwa kuwa mimi ni mwenyeji mzoefu hapa KF,nachukua fursa hii kukukaribisha rasmi,karibu sana.
nita kujibu kiustarabu ili kuweka record sawa lakini nitaomba ujibu maswali yangu kwa kuambatanisha na ushahidi.
(tatizo la hapa kenyaforum hatu-comment kisiasa almrad tu,lazima uweke ushahidi kidogo wa either link au picha/screenshot).
ni wapi ulitoa huo mtizamo.Je kuna tafiti yoyote iliyofanywa na taasisi inayotambulika ikadai kwamba mji wenye tenant wa kudumu ndio mji ulioendelea sana?.ushahidi ktk hili please.
kwa hiyo nairobi imeendelea kuzidi dar kwasababu watu wake wengi ni tenants?.ushahidi please.
ni sababu gani iliyosababisha nairobi yenye house tenant wengi kushinda dar ikawa na slums kubwa east africa na africa kwa ujumla.majibu na ushahidi tafadhali
kwa hiyo kwa mtazamo wako wewe,kuishi kwenye nyumba ya kupanga ni fahari na nafuu zaidi kuliko kuishi kwenye nyumba yako binafsi?.
tuanzie kwanza hapo halafu tuendelee na mjadala.
NB.
wakati unatafakari maswali yangu,naombe usome/utazame kwa umakini hii screenshot hapa chini.
![]()
bado tu waleta apartment za kijiji.....zinazofanana na kumilikiwa apartment na mtu mmoja.....jiongeze wakenya asilia hawaishi kwa hizo apartment coz hawana pesa.Nairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

sasa hao ndiyo wakenya halisi maisha yao yapo hiviIN DAR ES SALAAM TANZANIA
![]()
IN NAIROBI KENYA
![]()
nyumba zenu ni haibu tupu mnachonifurahisha mnaleta apartment zilizofanana ikimaanisha snayemiliki ni biss mmojaNairobi
![]()
![]()
![]()
![]()
wakenya wamepitwa na wakati
sasa wakae wakijua hiyo ndiyo tofauti baina ya wao na sisi kenya ni maskini sana ila pepa zawachanganya 90% ya apartment zao unaweza kuta nyumba 20 lakini anayemiliki ni boss mmoja ....wakenya wengine wote waliobaki ni maskinimbona zote zinafanana buda.ina maana wote walikuwa na ramani moja?.
tazama hapa,kila nyumba ina muonekano wake.a real definition of owning a house of your dream,not someone's dream.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

kama haya ndio majibu yako,basi asante.Kuna tofauti kubwa sana kati ya homeless na tenancy life. Pia tofautisha kuishi kwenye slums na kuishi kwenye nyumba yako. Mara nyingi slums sio nyumba za kudumu, so usizihesabu kama ni nyumba. wanaoishi kwenye slums hawatakiwi kuitwa tenants au landlords. Bila shaka nimejibu maswali yako

tofauti kubwa sana wakenya wanaishi kwenye hostel wabongo tunaishi paradiso....

Usitumie nguvu. Ongea kwa hojakama haya ndio majibu yako,basi asante.
angalau nimejua mapema kuwa wewe ni mtu wa level gani.kumbe ningepoteza nguvu zangu bure.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hawa sasa ndiyo wakenya wenye middle income economyIN DAR ES SALAAM TANZANIA 2017
![]()
IN NAIROBI KENYA 2017
![]()

rudi hapa,jibu hoja zangu kwa ufasaha halafu tutiririke vizuri. usijibu kibashite bashite kama mtoto wa darasa la kwanza.Usitumie nguvu. Ongea kwa hoja
nimegundua kuwa wewe ni mtanzania mwenzangu, lakini pia ni mgeni hapa kenyaforum.hivyo basi kwa kuwa mimi ni mwenyeji mzoefu hapa KF,nachukua fursa hii kukukaribisha rasmi,karibu sana.
nita kujibu kiustarabu ili kuweka record sawa lakini nitaomba ujibu maswali yangu kwa kuambatanisha na ushahidi.
(tatizo la hapa kenyaforum hatu-comment kisiasa almrad tu,lazima uweke ushahidi kidogo wa either link au picha/screenshot).
ni wapi ulitoa huo mtizamo.Je kuna tafiti yoyote iliyofanywa na taasisi inayotambulika ikadai kwamba mji wenye tenant wa kudumu ndio mji ulioendelea sana?.ushahidi ktk hili please.
kwa hiyo nairobi imeendelea kuzidi dar kwasababu watu wake wengi ni tenants?.ushahidi please.
ni sababu gani iliyosababisha nairobi yenye house tenant wengi kushinda dar ikawa na slums kubwa east africa na africa kwa ujumla.majibu na ushahidi tafadhali
kwa hiyo kwa mtazamo wako wewe,kuishi kwenye nyumba ya kupanga ni fahari na nafuu zaidi kuliko kuishi kwenye nyumba yako binafsi?.
tuanzie kwanza hapo halafu tuendelee na mjadala.
NB.
wakati unatafakari maswali yangu,naombe usome/utazame kwa umakini hii screenshot hapa chini.
![]()
na mtaziweka hadi villa houses mbona mtajuta...nyie ni vimeo wa africaNairobi
![]()
![]()
![]()
ona sasa hizo hostel mnazoleta kuwa na akili....hiyo ni mali ya mtu mmoja na si mmoja mmoja......huko kapuku kama wewe hauwezi ishi na huku dar zipo izo sema hatujawaonyesha kwa maana twahitaji maisha ya uasiliaNAIROBI,
Kenyans decided to "own" this kind of homes,--- see below--- because it is cheaper in the long run. You get the necessary infrastructure easily, like drainage system, internet services ... without a sweat. You ,still own the home, whether it looks exactly like your neighbours house, it is still a beautiful home in a serene environment, though some still prefer to build their own, actually the majority of people. People own homes in the rural areas, their birth place or "ushago" and in towns.. This nortion that Kenyans don't own land or property is a story you guys tell yourselves to sleep better.
![]()