Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
FB_IMG_1491501973586.jpg
 
Hata new York city 90% ni tenants.....wenye wanataka ku own nyumba huchukua mortgage. .... Tanzanians I hope you understand what mortgage means.That's the model used in world class or mature cities like Nairobi.
Hiyo system ya Dar maybe Mombasa ndio iko.
Unachoongea wewe ni nonsense
 
Wanjala aka Njaa
Njoo ujibu huku

Huu mlango wa Kuingia Nguruwe au Mkenya !!
70df1937c7e27fbcd9d33db5bb84e06e.jpg

Hata mungu hapendi
Humu analala mtu!!
 
Hata new York city 90% ni tenants.....wenye wanataka ku own nyumba huchukua mortgage. .... Tanzanians I hope you understand what mortgage means.That's the model used in world class or mature cities like Nairobi.
Hiyo system ya Dar maybe Mombasa ndio iko.
leo kweli mmepatikana mpaka mmeanza kuitolea mfano new York.SMH.
 
Mtoto hajui Yupo Kenya Middle...
Hahaha anajuuta Kuzaliwa Kenya .Kikuyu Majizi na mafisadi
Hahahaha
Akisha maliza kulia anaenda kulala humo!!
ONLY IN NAIROBI
803cfba7d3d1db777f2de84b0441ec7a.jpg
 
Mtoto hajui Yupo Kenya Middle...
Hahaha anajuuta Kuzaliwa Kenya .Kikuyu Majizi na mafisadi
Hahahaha
Akisha maliza kulia anaenda kulala humo!!
ONLY IN NAIROBI
803cfba7d3d1db777f2de84b0441ec7a.jpg
Ila maisha ya wakenya yani unaeza kutoa machozi.......
Hvi kweli nguruwe anaeza kuishi humo?????
 
tomorrow inshallah i will show you the view of my neighborhood including my house and its surrounding area.stay tuned.
 
Hahaha
Wanjala
Hivi unaweza ukapata usingizi mvua ikinyesha wewe umelala
Kwenye hili dude hahaha!!
Huyu yupo Nairobi
Middle...!!!
463b3664c584947ed7642649dc14cdc2.jpg
 
I have a feeling that these Tanzanians are becoming personal. ..........Please yourselves.
 
Hahaha Ukiwafutilia hawa Wezi nambari moja Africa na Duniani wakenya unaweza to a machozi!!

Wanamaisha ya kutupwa ya hovyo
Wachache ndio wanakula Raha
Na asilimia kubwa mamilioni ya wakenya wako hovyo!
Ardhi ilisha taifishwa!
Na bado wanaendelea kuzaliana!!

Usikumwema
 
Hahahahaaaaa. TENANT FOR LIFE! Ki ukweli mji wowote wenye life tenants ndio wenye mabepari wengi, lakini ndio ulioendelea zaidi ya mji ambao kila mkazi anaishi kwenye nyumba yake.
kwa sababu hiyo tukiangalia hili tutajua ni mji upi uko juu ili huu mjadala ufikie mwisho
asante kwa comment yako.karibu tena.
 
I have a feeling that these Tanzanians are becoming personal. ..........Please yourselves.
it's not personal,don't take it serious.

nilicho gundua tu ni kwamba leo imewauma sana.sikutegemea kuwa suala la nyumba lingewauma namna hii.poleni sana.
 
kwa hizi hasira walizo nazo hawa wakenya hii leo,ingekuwa kule twitter wangetutafuna.
 
Back
Top Bottom