Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
safi sana maana ....yeye si ndiyo anajikubali yupo bora aweke sasa ......hoja hapa ..sawa embu weka hoja yako mezani tuisome ili tuelimike.inawezekana una hoja nzuri.
iweke katika maandishi ili tuisome,tuitafakai na mwisho wa siku tui-challenge.
