Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IN DAR ES SALAAM TANZANIA

e80ce076acc294a9df957ea85c06b93b.jpg

IN NAIROBI KENYA
82e05e2c19424f1bc7f3ff9d20c051b0.jpg
 
mbona zote zinafanana buda.ina maana wote walikuwa na ramani moja?.

tazama hapa,kila nyumba ina muonekano wake.a real definition of owning a house of your dream,not someone's dream.

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
4754d1fa968d0ef7af8c0b34f20f7b96.jpg
83315b9911bfff3731ffab312758d295.jpg
3e0e42c9d4f4e25853bc5e14d0aae697.jpg
594aa41246c274dd2d4588874edebec6.jpg
3eac26869781ce4f2575dc08f33ad2d5.jpg
88ca2cb588a1c2f7dd431ab1faf5a12e.jpg
ab3ba2264a3c36da7505e5a1ecc9360f.jpg
8909f12fecf9af6993b3f3a1eabe64bc.jpg
0207db480abae4ae4fa50b5b183325e3.jpg
fadec02173c544ef249e99bd75afe947.jpg
3a332487eceeba26d0f5bdcef5447509.jpg
9d23ad575dab0a26002b9c3bfce0f517.jpg
df611473ed417b9ae5c22a894c2e6e7e.jpg
a76736bb47eedcad887a2b42b083b1b0.jpg
9b945bac856f22a56621168e44b84c7d.jpg
 
plot ni how much within Dar es salaam?

plots ndani ya big city ni very expensive ndio maana Dar si city juu land ni cheap kama NAROK or NANYUKI....hizo private owned houses nI mob sana within Nairobi metropolis
Sheria ya ardhi Tanzania inaruhusu watu wote kupata ardhi ,serekali inapima ardhi na Ku wauzia wananchi wake na pia unaweza kununua kwa watu kwa bei ndogo lakini mwisho wa siku ardhi yote ni Mali ya serekali wakiona una ardhi kubwa na wanataka wananchi wengi waipate wanaichukua na kugaiwa kwa wananchi
Ni tofauti na Kenya mtu mmoja anamiliki nusu ya Nairobi wengine mnaishia kuishi kibera sehemu nguruwe akikaa anakufa mnamuacha MTU mmoja anamiliki nusu ya Nairobi
 
2a9bd5d202cb50d031dfe250440fe1ea.jpg
 
Back
Top Bottom