THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Noma na nusu.
Noma na nusu.
The whole of Kunyaland haina cargo terminal kama hii!


Kitu matata eh, Kitu cha blue
Sent from my iPhone using JamiiForums
Vivyo hivyo kwa nairobi pia,hata america kuna pande nzuri na pande mbaya pia zipo..Unafikiri picha ya shinyanga ni moja Bro? Ukileta pande ile nzuri nami nakuletea ile hutaki kuweka. Weka hata nzuri ya Dar nikuletee ile pande mbovu ya Dar 😁
Wazee wa kupanga tofali huku na huku kisha flyover tayari...No pillars at all😂😂😂😂Hiyo stone age infrastructure haipatikana haipatikani mahali popote Tanzania apart from Dar 😂 😂
Alishakuja saa nyingi toka jana kwa ID nyingine 😂😂😂
Kumbe gor mahia level yake ni mtibwa sugar😀😀😀😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Wanashindana na Tanzania
View attachment 1351969
I respect your photography skills......you can make kibera look like lavington...
Sent using Jamii Forums mobile app
Say nairobi can't compete against dar..kwa sababu dar ina vitu vya ziada ambavyo nairobi haina...fact!Ndio maana tunawaambia hapa kila siku kwamba you should compare that fishing village with Mombasa. They have a lot in common. Nairobi is far much ahead of it