Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa portView attachment 1351651

Dar re salaam fishing village na zile nyumba zao tatu in the background
View attachment 1351655
Simply world-class 👌 👌

kipevu.jpg
 
Story ya pinnacle ilifikia wapi? I guess mabillionea wengi wanaikanyagia.
Alaa, sikujua. And there's a time when Munga of Equity was one of the biggest shareholders at BRITAM. Na bado he owns a couple of empty plots hapo Upperhill. I can bet he's one of the reasons structures like Pinnacle cannot be built within this decade.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You just edit ur pics before posting them here.
Unafikiri picha ya shinyanga ni moja Bro? Ukileta pande ile nzuri nami nakuletea ile hutaki kuweka. Weka hata nzuri ya Dar nikuletee ile pande mbovu ya Dar 😁
 
Acha kudanganya watu wewe, Kigezo kinachotumika kuweka nchi katika makundi ya incomes ni kimoja pekee, nacho ni kipato cha wananchi, ambacho hupatikana kwa kuchukua GDP ya nchi kwa kuigawanya kwa idadi ya wananchi tu.

Nitakupa mfano wa nchi ya Guinea ya Ikweta yenye utajiri mkubwa sana wa mafuta, hii nchi inakaribia kuingia ktk kundi la "Upper middle Income", kwasaba ukichukua GDP na kugawanya kwa idadi ya watu wao ni kubwa zaidi ya South Africa, lakini 60% ya Population huishi chini ya $1 kwa Siku, katika kipengele cha "Develepment Index", hii nchi is among the lowest in the Continent". Wakenya hamjui lolote zaidi ya kupiga domo, uwezo wenu wa akili ni mdogo sana.
Uwezo wao wa akili kufikiri umeishia kwenye zile suit zao ovesize na tai ya pink...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom