Hakuna barabara Mombasa munaeza onesha zaidi ya hio dongokundu bypass🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sote tunajua Hii ni 400M kwa urefu
Kuna 8 to 12 lanes kibaha highwaySote tunajua Hii ni 400M kwa urefu
Mombasa yake ni km 20 na bado inajengwa zingine.
Ni ndefu na nzuri kuliko yeyote ile Dar na Tanzania Nzima...hebu weka battle Mombasa roads vs Tanzania roads uonr ukibadilisha gearHakuna barabara Mombasa munaeza onesha zaidi ya hio bypass🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe tumekubaliana ni hio tu Mombasa njia zingine zote ni vichekesho🤣🤣🤣👇👇👇Ni ndefu na nzuri kuliko yeyote ile Dar na Tanzania Nzima...hebu weka battle Mombasa roads vs Tanzania roads uonr ukibadilisha gear
Kuna 8 to 12 lanes kibaha highway
9 lanes mwenge Morocco hapo vp🤣🤣🤣🤣
Hiyo stone age infrastructure haipatikana haipatikani mahali popote Tanzania apart from Dar 😂 😂😂😂😂🤣🤣👆👆👆👆 Stone age infrastructure...!!
Tuonyeshe kitu cha maana kwenye transport Dar zaidi ya BRTHakuna barabara Mombasa munaeza onesha zaidi ya hio dongokundu bypass🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Picha bana za kitu kimekamilika...hio yenu kwa muonekano tu ni 3 lanes km 18. Hebu weka picha za kioja kibaka highwayKuna 8 to 12 lanes kibaha highway
9 lanes mwenge Morocco hapo vp🤣🤣🤣🤣
So BRT unaona ni sawa na kula githeri 🤣🤣👇👇Tuonyeshe kitu cha maana kwenye transport Dar zaidi ya BRT
Hii sio Mombasa iko kwale county ni sawa 🤣🤣🤣
8 to 12 lanes kibaha highway🤣🤣👇👇Tuonyeshe kitu cha maana kwenye transport Dar zaidi ya BRT
9 lanes mwenge Morocco highway👇👇🤣🤣Tuonyeshe kitu cha maana kwenye transport Dar zaidi ya BRT
Kumbe tumekubaliana ni hio tu Mombasa njia zingine zote ni vichekesho🤣🤣🤣👇👇👇
Hotel Verde hehehhe🤣🤣🤣👇👇👇
Hii barabara ikikamilika itakua super sana...wanasema itajengewa njia za watembea kwa mguu na taa. ..hii project ni tsh 90B Ni kama $45M