Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kudanganya watu wewe, Kigezo kinachotumika kuweka nchi katika makundi ya incomes ni kimoja pekee, nacho ni kipato cha wananchi, ambacho hupatikana kwa kuchukua GDP ya nchi kwa kuigawanya kwa idadi ya wananchi tu.

Nitakupa mfano wa nchi ya Guinea ya Ikweta yenye utajiri mkubwa sana wa mafuta, hii nchi inakaribia kuingia ktk kundi la "Upper middle Income", kwasaba ukichukua GDP na kugawanya kwa idadi ya watu wao ni kubwa zaidi ya South Africa, lakini 60% ya Population huishi chini ya $1 kwa Siku, katika kipengele cha "Develepment Index", hii nchi is among the lowest in the Continent". Wakenya hamjui lolote zaidi ya kupiga domo, uwezo wenu wa akili ni mdogo sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Singida better than Nairobi
images (10).jpeg
images (12).jpeg
images (11).jpeg
 
1. Prove to us that Kenyans come to TZ for treatment,
2. Prove to us that Kenya`s debt to GDP ratio is 70%
3. Kwa number 3 it was just yesterday that I gave ichoboy01 a very hard kick when we were doing residential comparison.
4. Corruption is everywhere.
Kenyans wanakuja kwa wingi sana kwa ajili ya kutibiwa, sikiliza hii ripoti ya mkurugenzi wa Hospitali ya saratani ya Ocean Road, anzia dakika ya 20, japo ukianza mwanzo ndio tamu zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] That's the morning glory

Tanzania inatakiwa iwe most planned country in the region
Sina wasiwasi na hilo tutawaadabisha tu hawa mbuzi, tatizo Tz tulilala sn mpk hawa wapuuzi wakaleta dharau ila ss jasho la makario linawatoka.
 
Sina wasiwasi na hilo tutawaadabisha tu hawa mbuzi, tatizo Tz tulilala sn mpk hawa wapuuzi wakaleta dharau ila ss jasho la makario linawatoka.
Wakenya wapo brainwashed sana kwamba wao ni bora sana lakini uhalisia they are worst than any other, waishukuru sana jf inawafungua macho kuhusu Tanzania
 
Back
Top Bottom