Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa sababu sisi ni washamba sana, hujajua?
tatizo baadhi ya vijana kama nyie wanairobi mnadharau,kebehi pia mwajifanya wajuwaji......

hizi city zimezidiana kuna vitu nairobi vipo dar hakuna na kuna vitu dar vipo nairobi hakuna....city haziwez fanana hata siku moja kwani zikifanana haijengi maana haswa kiushindani......

mnajifanya nairobi ndyo kila kitu wakati inamapungufu tena kibao barabara ndyo kidogo zimebeba jiji la nairobi
 
Hahahaha! Vipi hapa unanitajataja!! Niko kazini huku naona mentions hapa zinazidi!! Hivi wewe Nairobi imekukolea akili, ikifuata na Wanjala???
 
Niliwahi kumwambia mkenya mmoja Mombassa
Mtanzania Anamaisha bora kuliko ninyi
Nimepita vijiji vingi kenya kiukweli wana danganywa wapo juu hakuna lolote
Uchumi umeshikwa na Wanasiasa mafisadi
Mkenya wakawaida ni funza tupu
kweli......kabisa inabidi siku team dar tukutane tuangushe shampein
 
we don't have to prove ourselves in jamii forums. ....take it or leave it.Mtupostie huto tunyumba twenu tuone progress yenu kama wana LDC
 
Speak of the devil

kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
4754d1fa968d0ef7af8c0b34f20f7b96.jpg
83315b9911bfff3731ffab312758d295.jpg
3e0e42c9d4f4e25853bc5e14d0aae697.jpg
594aa41246c274dd2d4588874edebec6.jpg
3eac26869781ce4f2575dc08f33ad2d5.jpg
88ca2cb588a1c2f7dd431ab1faf5a12e.jpg
ab3ba2264a3c36da7505e5a1ecc9360f.jpg
8909f12fecf9af6993b3f3a1eabe64bc.jpg
0207db480abae4ae4fa50b5b183325e3.jpg
fadec02173c544ef249e99bd75afe947.jpg
3a332487eceeba26d0f5bdcef5447509.jpg
9d23ad575dab0a26002b9c3bfce0f517.jpg
df611473ed417b9ae5c22a894c2e6e7e.jpg
a76736bb47eedcad887a2b42b083b1b0.jpg
9b945bac856f22a56621168e44b84c7d.jpg
 
hapana sio captain peke yake pia passengers wanatumia ngazi. kwanza ya black.
mlemavu mpaka abebwe hapo...maana yake nin sasa station yenu ya treni haiendani na hyo uchafu aiseee muirudishe china
 
tatizo baadhi ya vijana kama nyie wanairobi mnadharau,kebehi pia mwajifanya wajuwaji......

hizi city zimezidiana kuna vitu nairobi vipo dar hakuna na kuna vitu dar vipo nairobi hakuna....city haziwez fanana hata siku moja kwani zikifanana haijengi maana haswa kiushindani......

mnajifanya nairobi ndyo kila kitu wakati inamapungufu tena kibao barabara ndyo kidogo zimebeba jiji la nairobi
Pelekeeni hiyo Dar yenu nairaland mpewe marks.....our GREAT NAIROBI has been tried tested and proven worthy by neutral and independent minded people. Nyinyi mjitahidi ama Mombasa itakuja kuwapita
 
Hehehe. I like how you are handling them.In Kenya we just work hard and play hard.....tukishawalemea wanakuanga personal kama kawaida
city yenu roads tu ...ndyo kidogo imebeba city vinginevyo ni ubrakata tumba...
 
Pelekeeni hiyo Dar yenu nairaland mpewe marks.....our GREAT NAIROBI has been tried tested and proven worthy by neutral and independent minded people. Nyinyi mjitahidi ama Mombasa itakuja kuwapita
Yanii Leo siamini kama wakenya wanahaha kiasi hiki nikikumbuka 10 yrs past walivokua wanatutukana na kutukashifu....Leo siamini😀😀
 
we don't have to prove ourselves in jamii forums. ....take it or leave it.Mtupostie huto tunyumba twenu tuone progress yenu kama wana LDC
since when are kenyans say "we don't have to prove ourselves" during an online confrontation with tanzanians?!!.SMH.

it's simple,just admit that you don't own a house of your dream in nairobi.you are just a tenant in house owned by a kikuyu man/lady waiting to be paid by the end of this month,(almost few days from now)

kutoana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la Kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos showing private houses owned by common people of dar es salaam.
21929c100bdf69950b87de17b5063910.jpg
328546a563da46dd81e600a479bfc2da.jpg
a4ac81b8433c5d34331ff037879e9483.jpg
59ae4e0cb1a45884ec4778c823f9507c.jpg
bec416e0379597c31bcd5108979e8b48.jpg
468e107a72c98e954bdcfda9b1b6decb.jpg
5dc9492185f4e6f880afa3148745d9d8.jpg
529e1c4c549f811bb59ef56c1cdefeec.jpg
557efa5fedf67c53c6aa344c4375c5ca.jpg
8944a9c6e6c9487d37b8312b04960cd2.jpg
61b30d08cfa291550f3e4386940bf96c.jpg

more photos are coming. stay tuned.
 
Wasubiri waone electric train ya bongo within 2 yrs
kweli siku hazigandi sisi tunautanua mji wenyew wanabanana banana city center
...hadi bus stand zinazagaa nairobi city center.....ha haa wakati wenzao stand tunaihamisha pembeni kabisa
 
honestly i didn't know such limits of dumbness (if there is such a word) could be achieved... these niggas is impressive, they surpassed the limit!😀
ushapagawa wewe

...usije kutufia bure hapa
 
Kuna taarifa imetoka inasema Nairobi inaongoza Kwa uchafu Eac ngoja niitafute au kwa mwenye nayo
ilete ......dada wanguvu maana walitusilibia sana ....yaan bora nisingekuwepo kwenye hii thread.....kwa kuwa npo watanyooka tu
 
huu uzi umeanza kuwa mchungu kwa baadhi ya wakenya.wengine wameanza kupita kimya kimya bila kuweka porojo kama kawaida yao.

wanjala endelea tu ku-repost za flyovers. najua huna nyumba hapo Nairobi.ume rent kachumba kamoja kwa nyumba ya yule nyanya mkikuyu huko dandora.
 
Back
Top Bottom