Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta picha bwana. Mbona wagumu kuelewa nyie??
We need houses owned by Local Nairobians

Forget those hostels/Dormitories.
Kindly bring photos in here.
wacha watafute wanazoziona nzuri kisha tuwachekee....maaana nahisi kuna mmoja anaangaika kutafuta nyumba ya oktopizoo
 
Wapuuzi, huu Uzi sasa watauona mchungu, kesho najaza servers za JF,

Asante Kadoda11 for this.

Safari hii hawachomoki.
Mwanaume mzima unajivunia kupanga,
Halafu bora upange walau nyumba ya Kueleweka, MTU anapanga bweni halafu anasimama na kujinasibu mbele za Wanaume.. Dadadeki.
wapuuzi kweli wakenya........wanabanana mule kwenye vihostel mama mpaka vitukuu...aisee
 
Hehehe. I like how you are handling them.In Kenya we just work hard and play hard.....tukishawalemea wanakuanga personal kama kawaida
haha thats what they wanna hear and its not bad making people happy sometimes.
 
wacha watafute wanazoziona nzuri kisha tuwachekee....maaana nahisi kuna mmoja anaangaika kutafuta nyumba ya oktopizoo
hatuna nyumba manyumba mazuri,ni zile tu za kibera za kina oktopizoo (btw who the f**k is that lol)
 
punguza povu...hayo ni maneno ya mkoasaji.embu rudia tena kutazama hizi picha hapa chini uzidi kutoa povu la kisirani.
safi sana mixe selfie ha haa watakufa maana wamekazana kuonhesha apartment..nyumba nyingine hawazionheshi sababu hawana
 
hizo picha nilizoweka hapo ni za eneo moja tu.bado sijaenda Tabata,kinyerezi,kimara,Mbezi ya kimara,mwenge,Mikocheni,msasani,kawe,makongo,changanyikeni,sinza,kigamboni,mtoni kijichi na kadhalika.

huko kote watu wanaishi kwenye nyumba zinazomilikiwa na watu binafsi sio ma-apartment wala magorofa kama ya royasambu au githurui.
hatari sana aiseee
 
Nani wamewa rank na hvi kwa akili hako munadhani mushaingia middle economy???wakati dunia inatuambia 2025 mutakua middle economy......soma hapo kaka

Kenya To Join Middle Income Status 2025 | The Star, Kenya
nani alisema tuko middle economy?they played us, tanzania ndio middle economy sisi maskini tunangangana na njaa...🙂)😀f*k am loving this)
 
Hata vijijini tumejenga,
And in fact ukiona mtu amejenga Dar basi more likely alishajenga kwanza kijijini,.
Hatupo mamburula kama nyie mnavaa masuti makubwa, mnachomeka na jua kali halafu mnaongea kingereza huku mnaishi kibera au mabwenini.
Shenzi kabisa.
ha haaaa umejuaje ndiyo zao masuti au koti kipindi cha jua kali aiseeee ni washamba wakenya ila wanajiona wajanja....mimi huwa nawaaangalia kisha nawaitaga stupid dog wa east afruca na dunia
 
kwanza hio ya captain imerembeshwa sana...the rest are not that good. but we are happy about that coz its what we can afford now, we cant afford bullet trains like the ones you guys can afford to plan in the future
Sisi tutatumia modern ones kaka sio hzo
Jionee ila usijinuonge
FB_IMG_1492107482922.jpg
 
Sasa MTU kula tu shida
Ataweza kujenga!!
Dar nikubwa sana
Na ukubwa huu ni watu binfsi tena wakawaida kumiliki nyumba zao
Nairobi nyumba nyingi zinamilikiwa na Wanasiasa mafisadi hasa Kikuyu hili ni janga Kenya!!
Kupata Ardhi Utaimba
Utaishia Kibera Vinyumba vya Kuzimu hata Mwenyezi mungu kavilaani kwa uchafu
na isitoshe hiyp miradi iliyokamilika na isiyokamilika dar ipo pia na bado ardhi ni kubwa kuna jamaa pale kigamboni anatengeneza nyumba 1500 ni mtanzania ....aisee yaani tutawauwa kwenye houses za raia mmoja mmoja zisizo fanana na kisha tunawauwa kwenye apartment......
 
honestly i didn't know such limits of dumbness (if there is such a word) could be achieved... these niggas is impressive, they surpassed the limit!😀
 
Back
Top Bottom