tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mombasa mnaikuza lakini haipo hata top 20 katika miji bora Africa inapigwa na kampala ,adis Ababa kwa kila idaraMwanza kwanz wakajaribu Nakuru juu hapa hawawezani na Mombasa hata kidogo. Unasau number of dollar millionaires Mombasa ni sawia na Dar?
Sent using Jamii Forums mobile app


