Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kutotembea kweli ni shida. Hizo zote weka pamoja haziwezi hata fikia level ya Roysambu or Kasarani. You're simply living in denial. All modern buildings in Dar ukiweka pamoja honestly haziwezi fika hata 10% of what is in Nairobi. Kama uko insecure about Mombasa then here's a picture. If you have brains you'll see hakuna difference between Dar and Mombasa except for the three blue towers
View attachment 1335149
Mombasa yote siinachapwa na Upanga hands down tu

Mombasa Ni city uko kenya sisi hatuitambui tafadhali!! Na hua sipendi ku argue na wewe hata siku1
tapatalk_1576390724206.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shinda hapo tu na "lipstick." We're focusing on commuter rail at the moment which is more viable. BRT will just be some icing on the cake. Wacha watu wa matatu walipe loans zao kwanza



View attachment 1335230
View attachment 1335232

Uhehehhee hangaikeni lakini msumari uko palepale mwaka huu muje mupange the first electric bullet train in east and central africa👏👏👏😀😀😀
 
Wengine hawa hapa wameanza kujitambua 😂😂😂

Alaf hio ni dodoma tu wameanza kusanda😀😀😀na wangekua wanaakili hawa huu mwaka ulikua hata sio wakushindana na Tanzania wangekaa kimya tu😀😀😀😀
 
Mumebaki munalia na hasara za kq miaka 7 sasa huku munamiliki ndege tatu miaka 50 😀😀😀😀
Air Tanzania imefufuliwa miaka tatu sasa ina ndege 11 brand new cash deal😀😀😀
Imetengeneza faida ya pesa ngapi?
 
Unanionyesha barabara. Hiyo barabara ndio Kijitonyama? Ona ulivyo mjinga. Nairobi has better roads if your intention was to show me that stretch of road
Hahaha 🐵 hapo umeona barabara tu,
Hujaona ulipozungushia duara kwenye picha uliyopost 😂😂😂
I know unaumia sana,
Shida yako ni ubongo wako kutumia outdated software.
 
Hebu nionyeshe hiyo ripoti inayosema Atcl imetengeneza faida nicheke
Kwa miaka 3 tu serious yani hata miaka 5 haijamaliza siungesubiri ndege nne mpya ziingie mwaka huu tupanue wigo zaidi😀😀😀😀
 
Hahaha 🐵 hapo umeona barabara tu,
Hujaona ulipozungushia duara kwenye picha uliyopost 😂😂😂
I know unaumia sana,
Shida yako ni ubongo wako kutumia outdated software.
Hawawezi Aminu hawa hali mbaya sana kwao😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom