Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wajua Amerika na hiyo wealth yake yote aka GDP iko na homeless people wengi sana? lakini utajuaje na akili yako iko tu hapo Tz? Enda ukasome basic economics kwanza utajijibu hilo swali. I recommend this book hapa chini

View attachment 1335195
Hujanijibu swali bado rejea swali langu kwa umaskini alaf nijibu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hujanijibu swali bado rejea swali langu kwa umaskini alaf nijibu🤣🤣🤣🤣🤣
ndio nakuuliza Amerika na idadi ya kubwa ya dollar billionaires mbona kuna watu homeless (si immigrants) na wenye kulala njaa?
 
Tanzanians have this tendency of vaguely showing their hoods....hii magomeni ni barabara au sehemu before niingie google earth?.....upanga nayo wakati mwingine wanaita kariakoo.....smh

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehe... I was going to say the same thing. They always show a section or sections of roads when sharing pictures of places outside the cbd. It's hard upate wakionyesha a picture covering an entire hood
 
Hehehe unaumia sana. Mombasa has better residential areas than all of Tz, Mombasa is cleaner than all Tz towns and villages, Mombasa port is bigger than all Tz ports placed together, Mombasa has better roads than whole of Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakataa ukweli sasa au hii sio Mombasa 😀😀😀 au wanifanyia mm siijui Mombasa hahaha
Screenshot_20200126-125813_Gallery.jpg
 
naona Mombasa kafanana sana na Dar. Ilala kwa umbali, Kariokor hapa mbele. CBD hapo kati kati kisha tuongeze three blue towers 😂😂
Eti enhhhh Nairobi imeshindwa sasa munaunganisha na Mombasa isaidie😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom