Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza ungezana na hii zanzibar alaf tutaendelea mbele🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 1335154View attachment 1335155View attachment 1335157
though watu wanakaa tu chini hapo dar. Hakuna outdoor amphitheater. Yaani hii sehem haiezi tumika for any other purpose besides kutembea tu? haina hata anything significant besides pavement?
mama2.jpg

mama.jpg

mama-ngina-waterfront-12.jpg

front-pic.jpg
 
Tuongeze na hii 😂😂😂
1. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu.

2. 5, 000 acres in Thika.

3. 20,000-acre one, also known as Gichea Farm,

4. 5, 000-acre Muthaita Farm

5. 9,000 acres in Kasarani Mwiki

6. 29, 000 acres in Kahawa Sukari

7. 50, 000 acres in Taita

8. 52,000-acre farm in Nakuru

9. 24, 000 acres in Taveta

10. 10, 000-acre ranch in Naivasha.

11. 10, 000 acres in Rumuruti

12. 40,000 acres in Endebes in the Rift Valley Province
Kenyatta alone inamiliki robo ya Kenya alaf wanategemea below poverty line isiwe 46%🤣🤣🤣
 
kutotembea kweli ni shida. Hizo zote weka pamoja haziwezi hata fikia level ya Roysambu or Kasarani. You're simply living in denial. All modern buildings in Dar ukiweka pamoja honestly haziwezi fika hata 10% of what is in Nairobi. Kama uko insecure about Mombasa then here's a picture. If you have brains you'll see hakuna difference between Dar and Mombasa except for the three blue towers
View attachment 1335149
All in utaishia hapa tu budaa🤣🤣🤣👇👇👇
Screenshot_20200126-125813_Gallery.jpg
 
Gor mahia ilishinda nini caf 😂😂😂
Hivi unafahamu simba na yanga wana mashabiki hadi hapo kunyaland failed state,
Hivi unafahamu ni timu ngapi za Tanzania zinashiriki ligi ya mabingwa Africa,
Hivi unafahamu simba ilifika hatua gani kwenye caf champions msimu uliopita 😂😂😂
Hivi unafahamu TPL ni moja ya league bora barani Africa 😂😂😂
Hivi unafahamu kariakoo derby ni moja kati ya derby bora barani Africa,
Hivi unafahamu kuchezea TPL ni ndoto ya kila mchezaji wa kenya.
Haina hata banda la choo eti team kubwa Kenya haina hata stoo wakaita ofisi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hehehhe huwez amini bro wanatafuta mchawi wa loss miaka nane kumbe ni wao wenyewe wamejiroga🤣🤣🤣🤣🤣🤣 zaidi ya miaka 30 kwenye game wanamiliki ndege tatu alaf utaskia wanataka kushindana na ethiopia🤣🤣 wakata Tanzania anawatoa jasho
Kwenye usafiri wa anga tunawachapa (ndege 11 ndani ya miaka michache)
Usafiri wa majini tunawachapa (hapa tunawapa mwanza pekee)
Usafiri wa nchi kavu tunawachapa (hapa tuwape reli ya Dar-Moshi, kwenye mabasi tusiguse maana wataumia) 😂😂😂
Yaani hawaamini wanachokiona ndio maana wanazidisha chuki na wivu,
Mapovu hapo chini 😂😂😂
 
Mwanza kwanz wakajaribu Nakuru juu hapa hawawezani na Mombasa hata kidogo. Unasau number of dollar millionaires Mombasa ni sawia na Dar?
Uhehehe wamesaidia nn millionaire wamesaidia nn nchi iko kwenye janga la jaa kila mwaka🤣🤣🤣🤣
 
Haina hata banda la choo eti team kubwa Kenya haina hata stoo wakaita ofisi🤣🤣🤣🤣🤣
Nakumbuka uliwaambia wakuletee basi la gor mahia sijui kama walileta 😂😂😂
 
Uhehehe wamesaidia nn millionaire wamesaidia nn nchi iko kwenye janga la jaa kila mwaka🤣🤣🤣🤣
Wajua Amerika na hiyo wealth yake yote aka GDP iko na homeless people wengi sana? lakini utajuaje na akili yako iko tu hapo Tz? Enda ukasome basic economics kwanza utajijibu hilo swali. I recommend this book hapa chini

economics-for-dummies-3rd-edition.jpg
 
Back
Top Bottom