Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wako na ndege tano......na zinashikwa kila mara juu ya deni.....moja tu ndio inatoka nje ya ldc tanganyika huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege 11 moja fala wewe na nne ziningia mwaka huu na zote hakuna mkopo wala harufu🤣🤣🤣🤣 mko in service for more than 3 decades chakushangaza dunia munamiliki ndege tatu alaf munaulizana hasara unatoka wapi😀😀😀
 
Ni comments za mtu mwenye akili kama zako 😀😀😀😀😀 bahati nzuri labda nikwambie ndege zote zimenunuliwa kiwandani tena zikiwa bado hazijatengenezwa kabisa 😀😀😀😀 hakuna ndege hata moja imenunuliwa kwa agent
Naona jibu utakua nalo sasa


 
WHITE AND BLUE CITY

To those complaining about Mombasa, I have a message for you. Iwill post all Kenyan urban centers here hadi Garissa, shauri enyu kama hamna cha kupost.

82A24B19-BBDD-485A-8F15-D04E06FF4CF5.jpeg
4dbd141159ef3441cead23ad6302f6b4.jpg
4BE715BD-B18E-4135-9A4F-6C47126C7834.jpeg
EJ9Ms35XkAEM6Ok.jpg
DnMnhD4XoAE3b9L.jpg
EJeqn94XYAA_qVo.jpg
EJzCMsdX0AEvdGp.jpg
21st_brian_20191113_14.jpg
 
Wamezidiwa hadi na Uganda 😂😂😂
Hehehhe huwez amini bro wanatafuta mchawi wa loss miaka nane kumbe ni wao wenyewe wamejiroga🤣🤣🤣🤣🤣🤣 zaidi ya miaka 30 kwenye game wanamiliki ndege tatu alaf utaskia wanataka kushindana na ethiopia🤣🤣 wakata Tanzania anawatoa jasho
 
kutotembea kweli ni shida. Hizo zote weka pamoja haziwezi hata fikia level ya Roysambu or Kasarani. You're simply living in denial. All modern buildings in Dar ukiweka pamoja honestly haziwezi fika hata 10% of what is in Nairobi. Kama uko insecure about Mombasa then here's a picture. If you have brains you'll see hakuna difference between Dar and Mombasa except for the three blue towers
View attachment 1335149
Naam hii ni mwanza.

Mombasa ikapambane na hili jiji
tapatalk_1579620593672.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga na simba hazijawahi shinda kitu caf.......useless bin useless

Sent using Jamii Forums mobile app
Gor mahia ilishinda nini caf 😂😂😂
Hivi unafahamu simba na yanga wana mashabiki hadi hapo kunyaland failed state,
Hivi unafahamu ni timu ngapi za Tanzania zinashiriki ligi ya mabingwa Africa,
Hivi unafahamu simba ilifika hatua gani kwenye caf champions msimu uliopita 😂😂😂
Hivi unafahamu TPL ni moja ya league bora barani Africa 😂😂😂
Hivi unafahamu kariakoo derby ni moja kati ya derby bora barani Africa,
Hivi unafahamu kuchezea TPL ni ndoto ya kila mchezaji wa kenya.
 
Back
Top Bottom