NewYork hakuna vijengo vifupi kama hivyo wewe cbd haina skyscrapersNi New York ama wapi huku?
View attachment 1328136
Hebu niaibishe mm nasubiri😀😀😀😀Weka Hadi stendi ya makumbusho nyuma ya hayo majumba ambayo umeweka make up,ama unataka nikuaibishe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na naskia zimetengezwa na songoro hziBTW ziko mbili..
![]()
Haya majengo yanaitwaje😀😀😀😀😀
Hehehe wanashindana na Tanzania
Umeelewa kwanza hio habari ndani yake jibu lako lipo😀😀😀😀Does Tanzania even have competent doctors in the first place.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwnn wakenya wameamua kuwapa wachina kila walichonachoWakat sisi tunatengeza meter zetu wao wanaletewa na wachina
Akili zao ziko kwenye makalio😀😀😀😀Kwnn wakenya wameamua kuwapa wachina kila walichonacho