Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,866
- 103,718
Nangoja Kisumu port ni-assess value of money!Wewe na chuki pamoja na wivu hamjaachana sana.
Mnachofanyiwa na jubilee hadi aibu,
Nusu ya miradi hapo kenya imekwama,
Usafirishaji wa mafuta kutoka turkana unasua sua kutokana na miundombinu mibovu,
Serikali yenu imesitisha kuajiri,
Barabara zina mashimo ya kutosha,
Bado tena kipindu pindu kinawachapa kutokana na uchafu mko namba 3 kwa nchi zenye kiwango kikubwa cha cholera outbreak,
Mumeifisadi miradi mikubwa ya umwagiliaji,
Bila kusahau kenya Republic of China,
Na wala huoni 😂😂😂

Boat