Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
,Hatuna uhusiano wowote nawe, tangu lini nimekuwa mjombako?





hata mimi nashangaaSent using Jamii Forums mobile app
,Hatuna uhusiano wowote nawe, tangu lini nimekuwa mjombako?





hata mimi nashangaaHawana akili ya kufikiria kwa undani, kama ukabila umewashinda, unategemea nini?Kwnn wakenya wameamua kuwapa wachina kila walichonacho
That is a 2015 report and we are in 2020. Do you think the machine is just lying there idle? Currently, there are two hospitals in Kenya offering liver transplant with the other one being Mediheal, a private hospital in Eldoret
Sh500 million liver transplant facility to be set up in Eldoret
mzee ukiweka maelezo wap hapa, kuna ubaya?
Makao makuu ya NIDA bro😀😀😀mzee ukiweka maelezo wap hapa, kuna ubaya?
Wana wivu sana hao watu juzi nimeenda malindi barabara kwanzia border yao mpaka malindi mbovu 😀😀😀😀😀jamaa wanaona wivu kununua zetu! afu nin maana ya EAC sasa kama hatusapotiani?![]()
Hawa wa humu watapingana na huu ukweli kwenye hii tweet 😂😂😂Wana wivu sana hao watu juzi nimeenda malindi barabara kwanzia border yao mpaka malindi mbovu 😀😀😀😀😀
Yaani hata kunyaland hawajawahi kufanya hichi kitu ndo wazee GDP ya kupikwaHehehe wanashindana na Tanzania
Kweli mambo mazuri yanawadia tukae tayarihz sindano nyngne hz hazilipiki wallah... tuliwaambia mwakani msije sema hatukuwaambia
N.B usiruke soma yote![]()
View attachment 1328102![]()
AdditionallyLife on the streets of Nairobi View attachment 1328739View attachment 1328740View attachment 1328741View attachment 1328742View attachment 1328743View attachment 1328744View attachment 1328745View attachment 1328751View attachment 1328754View attachment 1328755View attachment 1328759View attachment 1328762
Eti Kenya haijawahi fanya heart surgery?? 😂 😂 😂 😂. You need to get out of LDC Tanzania. That's all I can tell you. Life doesn't start and end in Tanzania. Heart surgery ilifanywa kenya kabla hata mjue heart surgery ni niniYaani hata kunyaland hawajawahi kufanya hichi kitu ndo wazee GDP ya kupikwa
Hata kagame alishawahi kuikataa GDP ya nchi yake,haiwezekani nchi inakuwa na GDP nzuri ili hali bado raia ni masikini wa kutupwa
Inabidi kufikiria mara mbili mbili kuwa na GDP kubwa sio kwamba ndo upo vizuri kiuchumi. Kunyaland msipende mambo ya kwenye karatasi yatawaibisha bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta taarifa inayoonesha kuwa mlishawahi kufanya sio unaropoka kwa kutoa kwenye bichwa lakoEti Kenya haijawahi fanya heart surgery??![]()
![]()
![]()
. You need to get out of LDC Tanzania. That's all I can tell you. Life doesn't start and end in Tanzania. Heart surgery ilifanywa kenya kabla hata mjue heart surgery ni nini