Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naishi Kangemi ambayo ni slum/lower income area. Rent ranges from ksh 3,500 for mabati house to ksh 25,000 for apartments /month

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Kangemi wanasemanga ni slum ni bora kuliko zile Swahili villages zao they call dream houses. Kana kuna nyumba hadi ya ksh25,000 Kangemi Na Bado kuna watu wanaongea like you can find such kind of houses in those Swahili shacks za tandale na Mazense
 
Tena kwa mbali. Kuna estate pia inajiita Mountain View iko Kangemi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Kangemi wanasemanga ni slum ni bora kuliko zile Swahili villages zao they call dream houses. Kana kuna nyumba hadi ya ksh25,000 Kangemi Na Bado kuna watu wanaongea like you can find such kind of houses in those Swahili shacks za tandale na Mazense
Sio sisi ni satellites za google 😂😂😂
Ukweli ni kwamba huwezi kuta nyumba kama hizo tandale na manzese.
 
That's a national school and their requirements are different from a county School ,you will find that full uniform will cost 10k ,3500 games kit, national schools mattress and bedings are part of that so called fee,etc, and also depends with the school diet, because national schools enrolls students from all over the country , and all of them don't eat same food we have vegetarians and those who are not so they must be taken care of also.
What about all these requirements on this form which total more than 53,543 Ksh?, all this is for feeding fees?.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makumbusho haina uzuri wowote bado inahitaji upgrade ya Hali ya juu ukitoa hizi gorofa mbili tatu makumbusho hamna kitu.
IMG20191228170909.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom