Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
fool, what is mahasibu?
fool, what is mahasibu?
Hahahaha, Maneno ya Raila hayo aliyasema alipokua Rwanda, nani atajiingiza ktk mradi wa hovyo kama huo?, Soma ripoti ya IMF waliyoitoa mwaka huu, inautaja mradi wa LAPSSET kama ni miongoni mwa miradi ambayo GoK hawa kufikiria kwa kina, haiwezi kurudisha pesa zilizowekezwa.
alimaanisha Wahasibu! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 !
Soma hii taarifa ndio utajua hali ya nchi yenu ilipofika
Maghorofa haya ni ya kizamani sana huwezi kukuta Dubai uchafu km huo










Kitu hujui ni kuwa hizo high rise zote tunaweza jumuisha kwa just one out of the three leading commercial districts in NBOMaghorofa haya ni ya kizamani sana huwezi kukuta Dubai uchafu km huo
Dubai kuna vitu kioo kmView attachment 1327636View attachment 1327637View attachment 1327638
I was skeptical with the design but the final product is a marvel
infrastructure, number of millionaires, economic diversity etc bado ni za LDC unfortunatelyWe have already crossed!