Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If you did literature in high school, you would understand why the words failed state have been quoted
Hahahaha, kuna jamaa mmoja aligongwa na gari akavunjika mguu, katika kujitetea akesema hakuiona gari kwasababu ni ndogo sana, aliomba apatiwe darubini ili aitumie kuangalia MAGARI kabla ya kuvuka barabara.

Vipi hii nayo, unahitaji literature au darubini uweze kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is Nairobi (eastlands alone). And then some moron got guts to say Dar imepangika kushinda Nairobi. WTF!!
Screenshot_20190806-213018.png
Screenshot_20190806-213042.png
Screenshot_20190806-213506.png
Screenshot_20190806-213131.png
Screenshot_20190810-225312.png
Screenshot_20190801-135138.png
Screenshot_20190801-135458.png
Screenshot_20190811-005823.png
Screenshot_20190811-010256.png
Screenshot_20190810-224941.png
Screenshot_20190801-134655.png
Screenshot_20190801-115011.png
Screenshot_20190801-115432.png
Screenshot_20190801-135204.png
 
Pangeni miji kabla ya kushindana na miji ya watu iliyopangika vizuri, Dar haijapangika na huo ndo ukweli na huwezi kuilinganisha na Nairobi kwa viwango vyoyote. Na kama tutaendeleza upuuzi hata Mombasa itatupita sana tu
Hehehehehe leo ndo umejipambanua kwmb ww ni little monkey ss mnavyojifanyaga wa tz kumbe mnapenda kuwa wabongo eehh pole sana little monkey from Nai-Congo land
 
Nairobi iko na slums, and we all know it. Unafikiri sisi ni kama nyinyi who live in denial? No we don't. Outside those slum areas, Nairobi is an organized city than that glorified fishing village of yours. Huwezi kutana na sehemu kama hizi Nairobi outside slums. Huwezi kutana na hizi ujinga mnaita dream houses hata utembee hadi wapi View attachment 1326521View attachment 1326526View attachment 1326532
Unafikiri aliyetengeza hizo satellites akaonesha slums kila kona ya Nairobi ni mjinga kama wewe halafu hakuonesha slums Dar ni mjinga kama wewe?
Hapo unachoonesha ni picha ambayo hujazizoom na mabati yaliyochakaa na sio kingine,
Hiyo mwananyamala juzi RRONDO alipost picha za mitaa hiyo lakini cha kushangaza hadi leo mmefunga macho Mnajifanya hamzioni,
Ushapewa hadi videos lakini cha kushangaza huwa unajifanya huzioni 😂😂😂
Tandale kumetandazwa lami hadi vichochoroni.
 
Hahahaaa eti mamluki, sijui hata kama unajua maana ya hilo neno. Hebu kuweni wa wivu wa maendeleo na kuboresha vya kwenu na sio kupambana na wale ambao waliisha wazidi katika kupanga miji yao na kuiweka safi
Ss ulivyo mjinga usio na kipimo yn povu lote hilo mji wenyewe unaouongelea tusiufananishe ni Nairoba ya kenya ww aisee ni mwehu kweli yn huoni ata aibu me nlizan utasema joburg au Cairo eti unaongelea Nairoba jiji lenye slum kila kona yn kitendo tu cha kuzungukwa na slum limeiondolea sifa ya kushindana na Dar
 
Yaani nyinyi watu mna matatizo makubwa kwa hiyo mtu akisema kitu fulani Tanzania hakiko vizuri basi ni Mkenya, karibu nyumbani kwangu hapa Tabata Magengeni nikupe kitimoto hapo MICASA.

Nikuulize hivi wamachinga walipoachwa kuzaa kila mahali hata hiyo tunayoita CBD hebu mtwambia ni according to which town planning mode/approach?
Unaeza ukawa unaishi tabata lkn ukawa co mtz mbn wakenya wenzio wapo wengi tu wanafundsha
 
Duh yaani hata sijui nisemeje. Haya, ila ngoja nikwambie sasa, Nimezaliwa Kayanga, Karagwe na kusoma shule ya Msingi Kayanga, shule ya sekondari Karagwe Sec, high school Dakawa High Schoo Morogoro, then university of Dar es Salaam, St. Augustine university na Open University of Tanzania. Basi wewe nieleze natoka Kenya ya wapi ndugu??
Duh mpangilio tu wa elimu yko haueleweki bac bhn ngj nkuache
 
It's really stupid how you compare those suburbs to Dar's informal settlements. Why not compare them to these? See who's dumb? Usidhani kuwa hatuwezi kupiga screenshots pia
Mbezi beach.PNG
mikocheni.PNG
Tegeta.PNG
mikocheni.PNG
 
Hii habari mbona hamkuiweka hapa majirani??
Imf ndio final say wa hizi report pekee au ni wivu tuView attachment 1326427

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mtaalam kwenye maswala ya uchumi ila ukicompare gap ya real GDP na Consumer prices changes unaona kabisa nani anaishi maisha magumu:
Tanzania and the IMF
Kenya and the IMF
Na ukipitia vizuri key indicators utaona IMF staff mara ya mwisho kuja Tanzania ilikua december 2017 huko kenya hadi december 2019
IMF Staff Concludes Visit to Tanzania
IMF Staff Concludes Visit to Kenya
Hawajui chochote kuhusu TZ ya leo
 
Unafikiri aliyetengeza hizo satellites akaonesha slums kila kona ya Nairobi ni mjinga kama wewe halafu hakuonesha slums Dar ni mjinga kama wewe?
Hapo unachoonesha ni picha ambayo hujazizoom na mabati yaliyochakaa na sio kingine,
Hiyo mwananyamala juzi RRONDO alipost picha za mitaa hiyo lakini cha kushangaza hadi leo mmefunga macho Mnajifanya hamzioni,
Ushapewa hadi videos lakini cha kushangaza huwa unajifanya huzioni 😂😂😂
Tandale kumetandazwa lami hadi vichochoroni.
Utasumbuka hadi ulie but that won't change the fact that Dar is a disorganized city not worth comparing with Nairobi. That will never change. Pangeni hicho kijiji chenu before you even start thinking of comparing it with Nairobi
 
Utasumbuka hadi ulie but that won't change the fact that Dar is a disorganized city not worth comparing with Nairobi. That will never change. Pangeni hicho kijiji chenu before you even start thinking of comparing it with Nairobi
Utasumbuka hadi ulie but won't change that Nairobi ni headquarters za slums duniani,
Dar ni jiji la kisasa usiwahi tena kucompare na hako kajiji kenu ka zamani kenye miundombinu ya kizamani na maghorofa zaidi ya elfu 10 yaliyo hatarini kuanguka.
 
Back
Top Bottom