Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0958.JPG
IMG_0960.JPG
IMG_0959.JPG
IMG_0957.JPG


Kwa wa Kenya hapo watakwambia na London haijapangika kama Nairobi hahaaa
 
Wasikie na wasikie vizuri......or they go to an abysmal abyss
Pangeni miji kabla ya kushindana na miji ya watu iliyopangika vizuri, Dar haijapangika na huo ndo ukweli na huwezi kuilinganisha na Nairobi kwa viwango vyoyote. Na kama tutaendeleza upuuzi hata Mombasa itatupita sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are not good too, but we're definitely doing better , huwezi compare Dar na nairobi inayoongoza kwa ukuaji wa slums 5% ambayo ni kiwango kikubwa according to UN
You can't compare jiji la kisasa Dar es salaam na mji wa zamani uliojaa mijengo ya zamani na miundombinu ya kizamani haiwezekani kabisa,
Wewe endelea kujazana ujinga na huyo mwenzako maana ndio kipaji chenu.
Nairobi iko na slums, and we all know it. Unafikiri sisi ni kama nyinyi who live in denial? No we don't. Outside those slum areas, Nairobi is an organized city than that glorified fishing village of yours. Huwezi kutana na sehemu kama hizi Nairobi outside slums. Huwezi kutana na hizi ujinga mnaita dream houses hata utembee hadi wapi
Screenshot_20190812-003758.png
Screenshot_20190928-132128.png
Screenshot_20190801-151250.png
 
Back
Top Bottom