Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_2020-01-18-09-26-47.jpeg
 
Achana naye mamluki asikuumize kichwa hao ndo wanajisifia kuzaliwa paka ulaya
Hahahaaa eti mamluki, sijui hata kama unajua maana ya hilo neno. Hebu kuweni wa wivu wa maendeleo na kuboresha vya kwenu na sio kupambana na wale ambao waliisha wazidi katika kupanga miji yao na kuiweka safi
 
Pangeni miji kabla ya kushindana na miji ya watu iliyopangika vizuri, Dar haijapangika na huo ndo ukweli na huwezi kuilinganisha na Nairobi kwa viwango vyoyote. Na kama tutaendeleza upuuzi hata Mombasa itatupita sana tu
Sasa kati ya Dar na Nairobi ni upi uliopangika vizuri zaidi?, wewe huijui Nairobi unazungumza toka hewani, hata wakenya wenyewe wsnakushangaa ukizungumzia kuhusu kupangika kwa Dar na Nairobi. Sema ukweli, umefikia Nairobi au unaangalia ktk YouTube?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL mkenya unajifanya mtanzania
Yaani nyinyi watu mna matatizo makubwa kwa hiyo mtu akisema kitu fulani Tanzania hakiko vizuri basi ni Mkenya, karibu nyumbani kwangu hapa Tabata Magengeni nikupe kitimoto hapo MICASA.

Nikuulize hivi wamachinga walipoachwa kuzaa kila mahali hata hiyo tunayoita CBD hebu mtwambia ni according to which town planning mode/approach?
 
Wewe ndio una matatizo makubwa maana wala hufahamu unacho kiandika hapa zaidi ya story za vijiweni,
Ila usijali wanywa kahawa wenzako watakuja kukuunga mkono 😂😂😂
 
Uyo ni mkenya af mda mwingine anajisahau ata mwandiko anashindwa kubadili watz hatunaga muandiko wa roho mby hivyo
Duh yaani hata sijui nisemeje. Haya, ila ngoja nikwambie sasa, Nimezaliwa Kayanga, Karagwe na kusoma shule ya Msingi Kayanga, shule ya sekondari Karagwe Sec, high school Dakawa High Schoo Morogoro, then university of Dar es Salaam, St. Augustine university na Open University of Tanzania. Basi wewe nieleze natoka Kenya ya wapi ndugu??
 
Wewe ndio una matatizo makubwa maana wala hufahamu unacho kiandika hapa zaidi ya story za vijiweni,
Ila usijali wanywa kahawa wenzako watakuja kukuunga mkono 😂😂😂
Yaani nadhani hapa nabishana na mtoto tu. Kwa kweli wewe sio kiwango changu kabisa. Haya endelea kuamini unachokiamini but then bottom line ni kwamba as a country we are poor and indeed very poor when it come to country planning, especially town planning. I REST MY CASE
 
Jan 17, 2020, 08:01am
Touring Tanzania In Total Luxury: The Gran Meliá Arusha

Duncan Madden
Duncan Madden

Contributor
Lifestyle
I write topical, environmental and experiential travel stories.

Tanzania is a country over endowed with natural wonders.

Think for a moment of the world’s highest freestanding mountain, the mighty Kilimanjaro, and its not inconsiderable nearby sibling, Mount Meru. Ponder a while over the gargantuan Serengeti stretching its precious wildlife-rich grasslands across some 12,000 square miles of national park. Think too of the gorgeous Zanzibar archipelago, picture perfect Indian Ocean spice islands lying just off the mainland that lent their name to mainland Tanganyika to create the United Republic of Tanzania.

Ruka Africa Mount Kilimanjaro Gran Meliá Arusha

Mighty Kilimanjaro shrouded in early morning clouds, as seen from my Ruka Africa scenic flight. DUNCAN MADDEN

Quite a roll call of wonders then, and one that righty entices people from all over the world to sample not just one, but all – often on a multi-stay trip. On just such a recent visit I took the wise decision to stay at three very different luxury hotels across three spectacular destinations under the umbrella of one brand – Meliá. Over three articles I’ll be reviewing each of these Tanzanian properties, which together make up the ultimate tour of Tanzania and what it has to offer.

Today In: Lifestyle
The latest addition to the Gran Meliá collection, the Gran Meliá Arusha opened in September 2019. Located in Tanzania’s second city and diplomatic hub, Arusha, it’s the ideal launch point for a Tanzanian tour thanks to its proximity to Kilimanjaro as well as the perfect location for visiting business people and diplomats.

Gran Meliá Arusha

The hotel's sizeable footprint is softened by clever design touches, natural materials and those ... [+]
GRAN MELIÁ ARUSHA

The hotel itself is a mighty edifice – 171 rooms and suites and four restaurants reaching up five stories around a vast open lobby – that frames 28 hectares of gated grounds crossed by a river and dotted with tea and coffee plantations.

Gran Meliá Arusha

Terrace views of the pool, grounds and Mount Meru on the horizon aren't to be sniffed at. GRAN MELIÁ ARUSHA

Despite its sizeable footprint, stepping into the Gran Meliá Arusha is an immediately warm and welcoming experience. Decor gives a hint of what’s to come – cool natural colours with pops of Africa beautifully integrated, all natural materials designed to complement and protect the environment it sits in.

This theme continues into the rooms and suites, running from a minimum 430 square feet (40sqm) up to the mammoth 2,570 square feet (239sqm) presidential suite, all are spacious and airy with big balconies, deluxe bathrooms and every mod con you might need. Again, good environmental policy is at the forefront here, from refillable glass water bottles to wooden-handled toothbrushes and combs with lots of stuff beautifully crafted locally by amazing charities like Shanga.

Gran Meliá Arusha

Every room is finely detailed with locally crafted African artworks. GRAN MELIÁ ARUSHA

Take a stroll through the hotel and grounds and, if you resist the temptation of a dip in the vast infinity pool or a massage in the on-site spa, you’ll come across a bounty of eating and drinking options. Saba Saba is the all-day dining mainstay – an open buffet-style feast of foods from all four corners of the world showcased extravagantly and tantalizingly by the chefs that prepare them. Tables spill outside so you can dine against the backdrop of towering Mount Meru, should the clouds grant you the view.

Gran Meliá Arusha

There's always room and time for a little poolside R'n'R in between visits to natural wonders. GRAN MELIÁ ARUSHA

Yellow Chilli is the ground floor signature restaurant, a delicious Indian infused journey from Punjab to the Mughal Empire under the direction of chef Sanjeev Kapoor, while on the top deck the newly opened Rooftop Bar is fast becoming the place to be seen for sundowners in Arusha. Fusing Meliá’s Spanish heritage with Peruvian into a unique style of tapas to compliment the cocktails, eating and drinking while watching the sun’s last rays cast their unique light over the tapestry of Arusha rooftops and Meru’s green slopes is a highlight of any stay.

Stay: Choose a Red Level Deluxe Mount Meru View room – 430 square feet of deluxe living with spectacular views of Mount Meru and access to the Level lounge.

Do: Take a scenic flight over Mount Kilimanjaro from nearby Arusha Airport with Ruka Africa – absolutely unmissable.
Price: Room rates start from $260

Gran Meliá Arusha

Gorgeous details offer a hint of what's to come at my next stop, the Meliá Serengeti Lodge. DUNCAN MADDEN

Next stop, read about the Meliá Serengeti Lodge and greatest wildlife reserve on earth.

Yaani nadhani hapa nabishana na mtoto tu. Kwa kweli wewe sio kiwango changu kabisa. Haya endelea kuamini unachokiamini but then bottom line ni kwamba as a country we are poor and indeed very poor when it come to country planning, especially town planning. I REST MY CASE
Unabishana na mtoto wakati hapa nadhani nabishana na mbu mbu mbu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri wewe hadhi yako ni jukwaa la udaku kule,
Nyie ndio wale mnaoichukia serikali halafu hiyo chuki yenu mnaamua kuichukia kila kitu hata vizuri 😂😂😂
 
Unabishana na mtoto wakati hapa nadhani nabishana na mbu mbu mbu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri wewe hadhi yako ni jukwaa la udaku kule,
Nyie ndio wale mnaoichukia serikali halafu hiyo chuki yenu mnaamua kuichukia kila kitu hata vizuri
Mwambie anywe sumu ili Magu afe....chuki za ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kati ya Dar na Nairobi ni upi uliopangika vizuri zaidi?, wewe huijui Nairobi unazungumza toka hewani, hata wakenya wenyewe wsnakushangaa ukizungumzia kuhusu kupangika kwa Dar na Nairobi. Sema ukweli, umefikia Nairobi au unaangalia ktk YouTube?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unajaribu kumaanisha kwamba Dar imepangika vizuri kuliko Nairobi ama point yako ni nini haswa?
 
Pangeni miji kabla ya kushindana na miji ya watu iliyopangika vizuri, Dar haijapangika na huo ndo ukweli na huwezi kuilinganisha na Nairobi kwa viwango vyoyote. Na kama tutaendeleza upuuzi hata Mombasa itatupita sana tu
Tayari washasema wewe ni mkenya just for telling them the truth
 
Unabishana na mtoto wakati hapa nadhani nabishana na mbu mbu mbu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri wewe hadhi yako ni jukwaa la udaku kule,
Nyie ndio wale mnaoichukia serikali halafu hiyo chuki yenu mnaamua kuichukia kila kitu hata vizuri 😂😂😂
Nachukiaje serikali wakati mimi nipo serikalini, ninachochukia ni baadhi ya upuuzi ndani ya serikali na nchi kwa ujumla. Nimesema wapi kwamba nachukia vitu vizuri wewe hii yote inaonesha ulivyo na uwezo mdogo sana hata wa kufuatilia na kuelewa mambo
 
Back
Top Bottom