Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nachukiaje serikali wakati mimi nipo serikalini, ninachochukia ni baadhi ya upuuzi ndani ya serikali na nchi kwa ujumla. Nimesema wapi kwamba nachukia vitu vizuri wewe hii yote inaonesha ulivyo na uwezo mdogo sana hata wa kufuatilia na kuelewa mambo
Sasa kinachokufanya uquote wenye uwezo mdogo wa kufikiri ni nini 😂😂😂
Nyie ndio wale mnaotumia makwapa kufikiria lakini usijali utapata wenye uwezo mdogo wa kufikiri wakuunge mkono,
Size yako ni jukwaa la udaku.
 
Wajinga tu hawa, wakati nipo hapa nafaidi kiyoyozi cha ofisi ya serikali yangu ya JMT
Ubaya wa Watanzania ni kwamba they think they are good in everything, hata mambo ambayo they are doing extremely bad in kama mipango miji. Tatizo ni kwamba hawataki kukubali wameshindwa, hiyo hawataki kabisa. Mara nyingi tukileta picha za Nairobi hapa mwishowe wanasema eti Nairobi ilijengwa na wazungu just because they have a disorganized city called Dar
 
Na hilo ndio tatizo kubwa kwenu,
Ubaya wa Wakenya ni kwamba they think they are good in everything, hata mambo ambayo they are doing extremely bad in kama mipango miji. Tatizo ni kwamba hawataki kukubali wameshindwa, hiyo hawataki kabisa,
Nyani haoni kundule.
 
Nadhani uwezo wake mdogo wa kufikiri ndio tatizo
Na story za kusimuliwa vijiweni.
Hivi akiwekewa aerial view ya place kama Mbweni, Ununio usuani..ataweza ku compare na vile vimijengo vitatu vya kunyan estates? Ila jamaa ashasema anakaa Tabata simshangai...no wonder wenye akili wanapakimbia Tabata saiv!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya wa Watanzania ni kwamba they think they are good in everything, hata mambo ambayo they are doing extremely bad in kama mipango miji. Tatizo ni kwamba hawataki kukubali wameshindwa, hiyo hawataki kabisa. Mara nyingi tukileta picha za Nairobi hapa mwishowe wanasema eti Nairobi ilijengwa na wazungu just because they have a disorganized city called Dar
Umeona ee, na huu sio mtazamo wa maendeleo kabisaa
 
Hivi akiwekewa aerial view ya place kama Mbweni, Ununio usuani..ataweza ku compare na vile vimijengo vitatu vya kunyan estates? Ila jamaa ashasema anakaa Tabata simshangai...no wonder wenye akili wanapakimbia Tabata saiv!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo kashampata mjinga mwenzake wa kumpa sapoti yaani full burdani 😂😂😂
Kule kwao ili mji upangike akili yao inawatuma wajenge zile hostel za kufanana fanana wanavyo viita estate.
 
Wajinga tu hawa, wakati nipo hapa nafaidi kiyoyozi cha ofisi ya serikali yangu ya JMT
Hahahaha, ndio sababu upo negative sana na serikali, mlizoea kukaa bila kufanya kazi, watumishi serikalini walikua wanaongoza kwa uvivu, uzembe na kutowajiba na kula rushwa, sasa hivi mumebanwa na kunyooshwa, mishahara haikidhi tena matumizi yenu ya hovyo, sasa mumejawa na hasira na kuchanganyikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hilo ndio tatizo kubwa kwenu,
Ubaya wa Wakenya ni kwamba they think they are good in everything, hata mambo ambayo they are doing extremely bad in kama mipango miji. Tatizo ni kwamba hawataki kukubali wameshindwa, hiyo hawataki kabisa,
Nyani haoni kundule.
We are not good, but we are definitely doing better than you in that sector. You can't compare Nairobi with Dar in matters planning. Hiyo ni Kama kulinganisha usiku na mchana. Watanzania wenzenu wamesema hiyo mara nyingi tu kwenye hili jukwaa na huyu hapa mnayemkataa leo eti si mtanzania si wakwanza na hautakuwa wa mwisho.
 
Sasa unajaribu kumaanisha kwamba Dar imepangika vizuri kuliko Nairobi ama point yako ni nini haswa?
Nilikaa sana hapo Nairobi nikiifanyia kazi BBC na rafiki yangu Tom Japan, kitu ambacho alikua akilalalamika sana kuhusu Nairobi na kuisifia Dar, ni kuhusu mpangilio wa hovyo wa jiji la Nairobi ukilinganisha na Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi akiwekewa aerial view ya place kama Mbweni, Ununio usuani..ataweza ku compare na vile vimijengo vitatu vya kunyan estates? Ila jamaa ashasema anakaa Tabata simshangai...no wonder wenye akili wanapakimbia Tabata saiv!

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka tuone ndugu. Mbona unabweka tu? Act now!
 
We are not good, but we are definitely doing better than you in that sector. You can't compare Nairobi with Dar in matters planning. Hiyo ni Kama kulinganisha usiku na mchana. Watanzania wenzenu wamesema hiyo mara nyingi tu kwenye hili jukwaa na huyu hapa mnayemkataa leo eti si mtanzania si wakwanza na hautakuwa wa mwisho.
We are not good too, but we're definitely doing better , huwezi compare Dar na nairobi inayoongoza kwa ukuaji wa slums 5% ambayo ni kiwango kikubwa according to UN
You can't compare jiji la kisasa Dar es salaam na mji wa zamani uliojaa mijengo ya zamani na miundombinu ya kizamani haiwezekani kabisa,
Wewe endelea kujazana ujinga na huyo mwenzako maana ndio kipaji chenu.
 
Govt to build 43 new technical colleges countrywide -minister
ippmedia.com/en/news/govt-build-43-new-technical-colleges-countrywide-minister

January 18, 2020
18Jan 2020
Marc Nkwame
Arusha
News
The Guardian
Govt to build 43 new technical colleges countrywide -minister

THE government is investing nearly 100bn/- towards the construction of 43 new technical colleges across the country, with the one being planned in Dodoma to serve as an exemplary training institution.
technical%20ed.jpg

Deputy Minister for Education, Science and Technology, William Ole Nasha
Deputy Minister for Education, Science and Technology, William Ole Nasha said here when speaking during the occasion to lay a foundation stone at Kikuletwa hydro-electric power centre, which is the country’s first and advanced training facility and research base which doubles as college as well as centre for churning electrical power through the use of the gravitational force of flowing water.

He stated that the state was aware of the importance of technical training in empowering the youth for self-employment, productivity and essential skills, thus the government is focusing onto this end.

“While we are doing everything possible to create employment among young people, it is also important to facilitate them to become self-reliant and create their own jobs based on skills earned from technical training,” Ole Nasha maintained.

The government of Norway is collaborating with Tanzania, in the development of the auxiliary Kikuletwa power station located in Arusha and Kilimanjaro regions, making it the country’s alternative electricity churning plant as well as center for provision of hydro-electric power production training centre.

The envoy of the Royal Norwegian embassy in Tanzania ambassador Elisabeth Jacobsen lauded Tanzania’s initiative in investing into technical studies, pointing out that by year 2030 the world population will be in need of 600 million jobs, a problem that can only be solved through technical training.
“In line with that Norway will continue to support the Arusha Technical College and also the Kikuletwa power project,” she assured.

Previously the acting Rector for ATC, Eng Masudi Senzia revealed here that for many years the country has been sending its hydro-power technicians to study in Zambia or overseas but now that the Kikuletwa facility is in place, it will be the turn for the overseas experts to come to study here in Tanzania.

Fields of training at the Kikuletwa hydropower facility, according to the acting Rector include; hydropower plant operations and maintenance, domestic electrical installation, plumbing and pipe fitting and masonry brick work.

The Arusha Technical College views that while other alternative sources of energy are being introduced worldwide, hydro-electricity, being renewable and relatively cheaper, will remain the ultimate power choice on the continent.

Six years ago, the Tanzania Electricity Supply Company (TANESCO) handed over the ownership of the dormant Kikuletwa, power station to the Arusha Technical College for the ATC to convert it into serious research and training base.

Constructed in the 1930’s the Kikuletwa plant was one of the first hydroelectric power plants in Tanzania, located at a section where the Kware river from Mount Kilimanjaro meets the Kikuletwa river from Mount Meru, providing good hydrological conditions for hydropower production.

Kikuletwa power station provided electricity to Arusha and Moshi municipalities for many years and later supplied electricity into the national grid but ceased operation in 1984.

Arusha Technical College rehabilitated and developed the power station to start serving as an international hydro-electricity training centre supply to the national grid. Previous feasibility studies had indicated that the entire Kikuletwa cascade may potentially provide up to 17 MW of electricity.

The college is also using Kikuletwa as a training centre for hydro power technicians and artisans and as a test centre for its own micro-turbine generator.

Hydro-power is the most widely used form of renewable energy, accounting for 16 per cent of global electricity generation – 3,427 terawatt-hours of electricity production in 2010, and is expected to increase about 3.1 percent each year for the next 25 years.

Hydropower is produced in 150 countries, with the Asia-Pacific region generating 32 percent of global hydro-power in 2010. China is the largest hydroelectricity producer, with 721 terawatt-hours of production in 2010, representing around 17 per cent of domestic electricity use
 
Back
Top Bottom