Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you crying though? You are delusional. I guess making up those percentages makes you feel better 😂 😂 😂 😂 When you speak of hopeless visions, we are out here executing projects. Keep dreaming dreamer
Mjinga sampuli kama huyo hata huna haja ya kumjibu 😂😂😂 unamuacha tu aendelee kuamini ujinga anaouamini,
Mtu anaandika comment unagundua kabisa huyu kwenye maisha yake kuna tatizo mahali.
 
This is the mother of all unplanned cities in the entire universe.....no roads no piped water no sewerage system village like behaviours....name it
tapatalk_1567843207504.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini wanakimbia vijijini kutafuta maisha Dar!, wanaishia kwa slums, hawana kazi, wanaenda kurandaranda na kuzubaa kwa beach! hiyo sio maendeleo ni ufukara! Dar itakua ovyo kuliko Lagos. Kiambu county with a smaller population ukilinganisha na Dar collects more revenue than Dar, ina maana population ya Dar haisaidii uchumi wa Dar, wengi ni idlers, in a weekday kukiwa na mechi kati ya Simba na yanga huwa mnajaza stadium, kama vile mlijaza uwanja during cecafa women, can't happen in Kenya in a weekday! haiwezekani, ata wakisema ni bure kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba, county ya Kiambu inakusanya mapato mengi kuliko Dar sio!??
Ok umeshinda bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol.....haitaki hasira ldc dweller
Kama kawaida unakuja na idea zako kichwani. Hata kama ingekuwa ni kweli, hiyo ingeonyesha jinsi inefficient mlivyo nyie mbwa koko. Kila kitu kinakuwa centered hapo katikati, no wonder Mombasa county inataka iondoke kwenye hicho kichuguu mnachoita jamhuri. Nimeshakwambia, tafuta vitu vya kufanya sio kuleta idea zako mwenyewe utaaibika humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi anataka kulia
Kama kawaida unakuja na idea zako kichwani. Hata kama ingekuwa ni kweli, hiyo ingeonyesha jinsi inefficient mlivyo nyie mbwa koko. Kila kitu kinakuwa centered hapo katikati, no wonder Mombasa county inataka iondoke kwenye hicho kichuguu mnachoita jamhuri. Nimeshakwambia, tafuta vitu vya kufanya sio kuleta idea zako mwenyewe utaaibika humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi gdp is equal to the whole tanzanian gdp........daresalaam is just like Mombasa...i understand you have to defend your pathetic city ...i won't take that from you

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata Vichekesho kama hivi tuma neno kibera kwenda namba 15577 😂😂😂
Headquarters za slums Africa 😂😂😂
 
Nikisema wewe ni mjnga unaona vibaya. Do you know the meaning of "American Kenya base"? Inamaanisha kuwa hiyo base ni ya US and the base is located in Kenya Lamu county. Hiyo nimekufunza bure sitaki pesa yoyote
Is America kenya base located in lamu unataka kudanganya nani yani hata hio pia unataka sifa
Yani nilijua msomi kumbe bogus



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom