Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unataka niamini picha ya billboard but not what I read from different sources? And what did the Turkish president come to do in Tanzania at that time? View attachment 1320443
Hiyo ndio evidence bwana githeri 😂😂😂
I said this yesterday. Getting loans kisha kuweka kibao cha "financed by government of Tanzania" na wanaCCM wanapiga makofi kama kondoo 😂 😂
Napenda namna hii SGR inavyo waumiza wakenya akili 😂😂😂
 
I said this yesterday. Getting loans kisha kuweka kibao cha "financed by government of Tanzania" na wanaCCM wanapiga makofi kama kondoo 😂 😂
I was going to say the same thing. How did you read my mind? 😂 😂
 
Hiyo ndio evidence bwana githeri 😂😂😂

Napenda namna hii SGR inavyo waumiza wakenya akili 😂😂😂
Haituumizi hataa. Nyie ndio mmeumizwa hadi kuona heri kutumia PR
 
Haituumizi hataa. Nyie ndio mmeumizwa hadi kuona heri kutumia PR
Mnaumia ndio maana mko busy kueneza propaganda,
Lakini lazima iwaume yaani mmejengewa Sgr ghali Sana alafu cha ajabu haitumii umeme inatoa moshi balaa alafu eti LDC country inajenga Sgr yake tena ya umeme kwa nusu ya bei mliyo jengewa ile mitungi ya changaa,
Alafu kubwa zaidi sio mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania haina pesa ya kujenga SGR. Kama choo tu ndio mnapewa grant, so sgr ndio mtaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unataka niamini picha ya billboard but not what I read from different sources? And what did Turkey's president come to do in Tanzania at that time? View attachment 1320443
Source za magazeti ya Kenya ambayo yanaongoza kwa wivu dhidi ya Tanzania?.
Wewe umeona wapi "billboard" kuandika jina la "Financer" tofauti na aliyetoa pesa?, hivi unajua sheria za kimataifa katika miradi mbalimbali?. Unajua kwamba sheria inasema wazi wazi kwamba ukiandika tofauti basi ni sawa na kuvunja huo mkataba na unapaswa kumlipa fidia huyo "Funder?".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekuwa hatuna pesa tunge mruhusu mchina atuchumishe sukuma kama mnavyo chumishwa sukuma muda huu
Yaani mkiona kitu hakiwezekani kenya basi huwa mnaona hakiwezekani sehemu zingine lazy idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
There are some facts about Tz.
1. Your SGR is full loan.
2. 50% of your budget is grants and donations.
3. Only 32% of Tanzanians are connected to electricity.
4. 98% of Tanzanians are witches. The remaining 2% are toddlers
5. Tanzania is the poorest nation in East Africa.

Fact ni hakuna nchi hapa EA ina pesa za kutosha za kujenga project ya zaidi ya $1b within a single year. Si ati pesa haziko benki but once you spend such mnapunguza cushion kutoka external economic issues na pia mnyanyima sector zingine za umuhimu hizo pesa. Kama waelewa biashara unajua huezi risk your financial armour on a gamble. Kama ni mambo ya mineral resources, the MGR would still serve efficiently. Same goes for imports which can still be efficiently served na road while at the same time opening up new areas along the roads for development. Kukimbia kwa Kenya na Eth kujenga SGR ilikuwa tu njia ya kuboost growth ya economy on the short run while hopping citizens will use the cash to build themselves at the same time attract FDI. Hiyo story ya SGR is more efficient bla bla bla ni porojo tu
 
Endelea kuota.
There are some facts about Tz.
1. Your SGR is full loan.
2. 50% of your budget is grants and donations.
3. Only 32% of Tanzanians are connected to electricity.
4. 98% of Tanzanians are witches. The remaining 2% are toddlers
5. Tanzania is the poorest nation in East Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PARKLANDS
PhotoGrid_1578817225116.jpg
PhotoGrid_1578819091443.jpg
PhotoGrid_1578817371344.jpg
PhotoGrid_1578817329651.jpg
PhotoGrid_1578816995377.jpg
PhotoGrid_1578817283960.jpg
d5eda3167dda550bf8ebffd2de75a0b78ad29b06.jpeg
PhotoGrid_1578817033009.jpg
PhotoGrid_1578819219655.jpg
PhotoGrid_1578817177247.jpg
PhotoGrid_1578819179754.jpg
 
Attachments

  • PhotoGrid_1578816995377.jpg
    PhotoGrid_1578816995377.jpg
    131.5 KB · Views: 6
Back
Top Bottom