Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tomato sauce.

When standard Chartered Bank gave you loan was there a clip?

Sent using Jamii Forums mobile app
Which loan from Standard charter?. Sisi hatukopi hovyo kama ninyi, tulikataa mkopo toka China wa $7.6B kujenga SGR kwasababu ulikua ni mkopo wa kibiashara, kwanini tukubali mkopo wa Standard charter ambao pia ni biashara?.

Tatizo mnashindwa kuelewa kwamba, Tanzania sio nchi njaa njaa kama mlivyo ninyi, tulikosa kiongozi wa kusimamia matumizi bora ya rasilimali zetu, sasa hivi tumempata, tutaendelea kupunguza mikopo na kutumia pesa zetu kwa kiasi kikubwa, hapo ndio mnapochanganyikiea, hamuamini kwanini tunaweza lakini ninyi hamuwezi.

Hatuwezi nini? Jujikwamua kutoka kwenye lile tope la LDC ama?
 
Which loan from Standard charter?. Sisi hatukopi hovyo kama ninyi, tulikataa mkopo toka China wa $7.6B kujenga SGR kwasababu ulikua ni mkopo wa kibiashara, kwanini tukubali mkopo wa Standard charter ambao pia ni biashara?.

Tatizo mnashindwa kuelewa kwamba, Tanzania sio nchi njaa njaa kama mlivyo ninyi, tulikosa kiongozi wa kusimamia matumizi bora ya rasilimali zetu, sasa hivi tumempata, tutaendelea kupunguza mikopo na kutumia pesa zetu kwa kiasi kikubwa, hapo ndio mnapochanganyikiea, hamuamini kwanini tunaweza lakini ninyi hamuwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani you are too thick and lazy to even know what is happening in your country? Kweli Tanzania is full of fools . Ndio hiyo loan ya Standard Chartered bank for your SGR. The amount is $1.46b

Atajuaje wakati ako too busy googling what's happening in Kenya alete hapa ndani wajinga wenzako wampigie makofi?
 
Tunaongoza wanafuata nyayo

uniuhuru.png
 
Hii ndio evidence! tena kutoka kenyan githeri media 😂😂😂
Endelea kusaidiana kueneza hizo propaganda.
Other Kenyan githeri media 😂 😂 😂

NEXT?? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Other Kenyan githeri media

NEXT??
Hii SGR si inawapa sleepless Sana msijali ipo siku na nyie mtapata kiongozi mzuri ili muache kukomaa na mitungi ya changaa inayotoa moshi na kuchafua mazingira,
Financed by Government of Tanzania.
IMG_20200112_103755_757.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii SGR si inawapa sleepless Sana msijali ipo siku na nyie mtapata kiongozi mzuri ili muache kukomaa na mitungi ya changaa inayotoa moshi na kuchafua mazingira,
Financed by Government of Tanzania.View attachment 1320427

Sent using Jamii Forums mobile app
Am giving you sources as one of you asked and you are giving me a billboard written HIV/AIDS KILLS!! Are you HIV/AIDS campaigner?
 
Back
Top Bottom