Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Signature mall. The recently completed mall along Mombasa road.
1675504_bZ6yOJFgqvza8vt5_dP9G2iaf_PA3q3mawweno3qNGE.jpeg
General-View-600x506.jpeg
slider1-2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
December nimeitumia sana kusafiri ndani ya Tz. Nilichokiona ni magari mengi sana yenye namba za Kenya yakisafiri up and down the country. Je inawezekana Tz ni destination fulani ya Wakenya kipindi cha sikukuu?
Nicxie na Teargass na huko Kenya magari yenye namba za Tanzania yapo mengi?
Of course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
 
You don't have money. Tanzanians that have money spent their time in Nairobi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba pesa hakuna,kila mwana EAC nje ya Kenya ukimuuliza unataka usafiri mji gani definately atakwambia Nairobi au Addis coz kuna vitu vya kwenda ku explore ukiacha mambo ya wanyama/nature kwa Tzn
Mtu kama mimi napenda utalii wa maendeleo sio wa nature sijui kuangalia nyumbu au kucheza bich no
 
Of course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Sema wewe huna pesa, usijumuishe. Ungesafiri ungejua kuwa waTz kibao wanasafiri
 
Dar will remain static forever. As Nairobi and Addis Ababa are adding more tall buildings Dar is adding the number of witches three times.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magu akitoka itarejea kwenye ligi ya majengo marefu maana huyu sio rafiki wa sekta binafi na sekta ya uma iliyokuwa inawekeza kwenye ujenzi wa majengo marefu ali ipiga pini
 
naeza post Nairobi in four different angles ya gorofa tu without Britam, GTC, UAP, Prism, KICC, Times Tower. Dar hamna picha ya the most developed places without hizo 3 skyscrapers.

Hebu post basi tuone.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sema wewe huna pesa, usijumuishe. Ungesafiri ungejua kuwa waTz kibao wanasafiri
wafanya biashara ,mimi sina pesa za kufika huko Duniani kwa sasa but soon nitaanza kusafiri nikikamilisha mipango yangu iliyo kwenye pipeline kwa sasa inayochukua pesa yangu,maana ku explore ndio hobby yangu but kwa Tzn yote nimemaliza hakuna mkoa nisioufahamu
 
Sema kama mabweni ya sekondari ingawa kimsingi ni mabweni,hapo mabibo hostel kilichoharibu inazungukwa na uswahili yaani huwezi sema ni hostel za university,Mlimani ina eneo kubwa sana sijui walifikiria nini kuja kujenga hizo hostel kule uswahilini wakati ilifaa wafanye kama UDOM
 
Of course hasa kwa wale wenye unafuu wa kipato,ni bora hao wanasafiri ku explore.Swali wa tzn huwa tunasafiri kwenda wapi ukiacha wachaga waorudi kwao kwa sababau za kimila na kitamaduni? Jibu ni kwamba pesa ya kusafiri kula maisha hatuna
Unafahamu kuwa Tanzania ni top tourist source ya Kenya au haufahamu hilo
Screenshot_20200113-135236.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba pesa hakuna,kila mwana EAC nje ya Kenya ukimuuliza unataka usafiri mji gani definately atakwambia Nairobi au Addis coz kuna vitu vya kwenda ku explore ukiacha mambo ya wanyama/nature kwa Tzn
Mtu kama mimi napenda utalii wa maendeleo sio wa nature sijui kuangalia nyumbu au kucheza bich no
Heheh yani ww hua nikisoma comment zako hua nachoka sana hvi ni nani sasa hvi anampango na Nairobi kwa lipi haswa hebu nijuze mm😀😀😀
 
wafanya biashara ,mimi sina pesa za kufika huko Duniani kwa sasa but soon nitaanza kusafiri nikikamilisha mipango yangu iliyo kwenye pipeline kwa sasa inayochukua pesa yangu,maana ku explore ndio hobby yangu but kwa Tzn yote nimemaliza hakuna mkoa nisioufahamu
Kumbe huna pesa kaa kimya sasa yani unaongea kama vile umezunguka dunia 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom