Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulikua tunaongelea urembo.....but nipee mfano wa lupita...na wangai maathai nikutii
Upande wa mitindo kiukwel Flaviana Matata anatuwakilisha vyema,Miriam Odemba huyu yupo kwenye cabinet ya miss world design kama tunafujo zetu kadhaa
 
Baadhi ya barabara
81fd1247c549365024ca734838c928ed.jpg

Arusha -Tanga

32ef6bf55adbd3d1c08f5477d8fee3b8.jpg

Iringa-Mbeya

b977569c9f4367eef13bb94808ee0208.jpg
71813bde1cb815881329da3721581d52.jpg
7f2583623ffb11daa4d19f55edca8fe5.jpg
ilo ni daraja la mkapa uko kusini mwa Tz
 
acha kuwa mzee wenzako washasema.....wew mbumbumbu ndiye unayesakata rumba unajitia vidole mwenyewe...
Wazimu huita razini, wazimu! Tayari wewe mwehu dhahiri shahiri, watu wanajadili Dar na Nairobi, wewe unajadili Wanjala?? Kwa huu ukumbi, bila shaka wewe una akili taakhira!
 
Upande wa mitindo kiukwel Flaviana Matata anatuwakilisha vyema,Miriam Odemba huyu yupo kwenye cabinet ya miss world design kama tunafujo zetu kadhaa
Can't compare with lupita and wangari maathai
 
Lupita anafahamika kwote unless wewe ni mbuzi....
Hehehe these Tanzanians hakunanga hata kitu moja wanaeza tuambia....Kenyans tuko ligi soh.Wangari Maathai....Obama...Lupita. ..Wanyama....Mariga who has a champions league medal....Divok Origi........infact Diamond and Alikiba are popular coz of Kenyan support. ....Venessa Mdee pia alichanukia tu hapa NAIROBI akisoma Catholic University. .....[HASHTAG]#RespectTheOGz[/HASHTAG]
 
Hapo sawa respecttheOG's
 
Back
Top Bottom