Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mkenya anaitwa lupita anajulikana dunia yote...alafu nyinyi mna sepetu anajulikana Tanzania yote
wapo kibao.......hao sema sisi hatutaki uraia pacha kama hivyo walio nnje huwa wanauchuna kimya kimya pasipo jipaisha...

hatupo kama nyie wadananda shida ya nchi yenu ya kenya imewafanya mpaka muwe na raia pacha ....na mzurure zurure ovyo kama yatima msio na kwenu..
 
Asha rose migiro aliwah kua UN Secretary, hasa niambie who care abt Oscar?

Hapa hatyzungumzii ukimwengu wa filamu pekee broda ,think big hommie
Aty who cares???...oscars ni awards zingine ata miaka 100 zijazo hakuna mtz ata ziget...google kujua Oscars ni nini cko hapa kukuelemisha
 
Lupita ni world wide hadi aliwin Oscars so hakuna ata 1/100 kiwango take Tz
kwaniv hao waliotajwa umeambiwa hawapo kimataifa wapo kibao hao kila mtu anachukua tuzo za kimataifa kulingana na talent blesed industry aliyopo wa TZ wapo kibao kabla ya lupita
 
Nakuru-Eldoret Highway can I get similar ones in Tz
e8b93787c29d13262f24e04242400e3e.jpg
ef21da469a3e6866d2dc25f5bd0bf53b.jpg

Chalinze -Morogoro
 
Aty who cares???...oscars ni awards zingine ata miaka 100 zijazo hakuna mtz ata ziget...google kujua Oscars ni nini cko hapa kukuelemisha
Labda nirudie, sio kila awards kila mtu anacare ,Oscar n whatever haimfanyi mtu Kua bora kuliko wengine ,huwez compare reputation ya mtu aliewah kua UN SECRETARY Na mcheza sinema hata siku moja,uzuri wako hua unaoongea kama unekatwa kichwa
 
hana akili huyo mzee wa iphone7 hajui kama sisi wabongo si malimbukeni wa umaalufu kwani ...haitufaidishi kwa chichote bali atakaye faidika ni muhusika mwenye umaaluf hivyo wa TZ walio nnje ni kimya kimya....hawana shobo na mtu na sis hatuna shobo nao.....tunawapa respect kimya kimya maisha yanaendelea
 
Labda nirudie, sio kila awards kila mtu anacare ,Oscar n whatever haimfanyi mtu Kua bora kuliko wengine ,huwez compare reputation ya mtu aliewah kua UN SECRETARY Na mcheza sinema hata siku moja,uzuri wako hua unaoongea kama unekatwa kichwa
Tulikua tunaongelea urembo na fashion but juu umeruka story sawa...tuko na Martha karua only female with Nobel peace prize Africa....
 
Back
Top Bottom