Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Nairobi City
......ushakuwa khadija kopa sasa......taarabu unaimba nnje nnje...Wazimu huita razini, wazimu! Tayari wewe mwehu dhahiri shahiri, watu wanajadili Dar na Nairobi, wewe unajadili Wanjala?? Kwa huu ukumbi, bila shaka wewe una akili taakhira!
hongera sanaSuch things are found deep in nyanza villages you scum. ...shida ya Tanzanians ni kushtuliwa na normal things bana.like that ugly dar of yours ati city....
Watz hawatawai ona highways ka hiziNairobi
![]()
Jipe moyo weunadhani sisi ni ma iphone7Watz hawatawai ona highways ka hizi
haumjui wew na wenzako wa humu sababu ni washamba.......mnaoitegemea jamii forum iwape vinavyohappen duniani......poleni sanaHakuna mkenya anamjua....period!!!!!!!!?????!!!!!!!!
Wanjala hivi hizo apartments za Nairobi watu wanapanga au wananunua?Nairobi Street
![]()
Sasa nani atajipa moyo.....I'll deal with you 'perpendicularly' in a meticulous way.....you'll remain lugubrious... Tafuta dictionaryJipe moyo weunadhani sisi ni ma iphone7
Wanajenga moja pale Ubongo nadhaniWatz hawatawai ona highways ka hizi
UBUNGO interchange itawafunga midomo,mwakani tutafungua tazara flyover endelea kuotaWatz hawatawai ona highways ka hizi
UBUNGO interchange itawafunga midomo,mwakani tutafungua tazara flyover endelea kuotaWatz hawatawai ona highways ka hizi
mtulie......tu kimya kimya......mkishtuka.....mshabakwaWatz hawatawai ona highways ka hizi
Hiyo lupita ni nnLupita anafahamika kwote unless wewe ni mbuzi....
Sasa nani atajipa moyo.....I'll deal with you 'perpendicularly' in a meticulous way.....you'll remain lugubrious... Tafuta dictionary
mzee wa iPhone 7 ndio atajipa moyoMwambie huyo aitumiage iPhone vizuri japo hata Ku Google sio inakuwa kama pamboWanajenga moja pale Ubongo nadhani

Sawa labda kujipa moyo in a meaning tofauti...it's a substantial fact that bongo will never have such highways![]()
![]()
![]()
![]()
mzee wa iPhone 7 ndio atajipa moyo
unamuuliza wanjala swali hilo hata halijui maana yeye ansishi kibera pale ndiyo maisha yake hayo majengo anaishia kuyaona nskupigiwa picha tuWanjala hivi hizo apartments za Nairobi watu wanapanga au wananunua?

That Daresalaam kwanza inaeza compete na Mombasa. ...a city with 1000 dollar millionaires against yao ya 1200....There's literally nothing that city can beat Nairobi in....from roads,planning, housing, educational and health facilities, retail market, companies,hata towers za CBD are enough to compete with theirs....they imagine that Nairobi isn't building towers hahaha. ..shock on them.....over 20 Tanzanians their fellow countrymen have openly admitted that they need to work harder with their daresalaam na wanajitia tu hamnazo hapa.Daresalaam can only beat Nairobi if they swap names only...nothing else.Watz hawatawai ona highways ka hizi
Mbona Kama open space hakuna gorafa kabisa au kuna bwanyenye kanunua kote na hataki kuendelezaNairobi City
![]()
City of antennasNairobi City
![]()