ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hahaha nauliza hizo ni bweni za chuo au?????Ndio maana ukitoa cbd place imebaki yote ni slums![]()
hahaha nauliza hizo ni bweni za chuo au?????Ndio maana ukitoa cbd place imebaki yote ni slums![]()
Umewai ona chuo iko na bweni 5000......ubishi zingine zinaonyesha ujinga ya hali ya juuhahaha nauliza hizo ni bweni za chuo au?????
baadhi ya mabweni ya chuo bongo na dodomaUmewai ona chuo iko na bweni 5000......ubishi zingine zinaonyesha ujinga ya hali ya juu![]()
![]()
where is a fight??? wanjala tatizo lake anaongea sana mpaka anaongea nonsense..anakwambia cars ambazo ziko naironi ni nyingi kuliko tanzania nzima, sasa huyo mtu mzima kweli?????😀😀😀😀😀😀😀

where is a fight??? wanjala tatizo lake anaongea sana mpaka anaongea nonsense..anakwambia cars ambazo ziko naironi ni nyingi kuliko tanzania nzima, sasa huyo mtu mzima kweli?????😀😀😀😀😀😀😀
haiwezekani mr wanjala uniambie nairobi ina magari mengi kuliko tanzania nzima.....😀😀😀😀Ichoboy!! Hahahaha! Wallaahu Rau’oofun Bil Ibaad!!!
Mungu ataweza kukuzidishia akili, uweze kuelewa mambo madogomadogo! La sivyo naona wazimu haikupeleki vyema!!
Usichukulie facts na mzaha!! Mbona mtu akikuwekea facts unaanza kujitia werevu akiwapa wengine majina!
Matusi yako hayawezi badili facts!!! Wewe ishi tu kule Zingida ukijifanya mjuzi, ukija hapa unakuta magwiji, huna hunani!!
Matusi huwa yanatambulisha umbumbu wa mtu! Kama wewe sasa!!
Tanzania is a LDC and you are proving the cause to be, having people with diluted doltish brains!!
Back to the thread, Picha za BRT zimeisha nikianza kusikia hizi longolongo!!! Wacha nije na mpya za Nairobi!!! Mtajiju!!!
Wabongo ni watu wakushangaza sana, sasa wewe huishi hayo maisha mabovu, unawashwa na nini?? Unajua lack of exposure in Tanzania imesababisha mambo kama haya!wakenya washazoea mapicha yenye effects full editing.....haa haa wakenya mnaishi na maigizo angali life yenu mbovu...
Kuishi kwenye dormitory ni standard, kwa mm siwezi kuishi kwenye nyumba zinafanana kama mko shuleni ,heshima kujenga nyumba yako mwenyewe sio kupangishaNakuelewa brathe....hamuezi fikia hizi standards
Huo uchafu huwez fananisha na brt