Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Na hilo ni janga kwa taifa, based on your population, national budget vis a vis annual revenue collection. Shida sio ukubwa ama udogo wa deni, ila swali ni can your economy sustain it?
USA has debt almost 100% ya GDP, Japan the same, lakini wako nafuu kutushinda tena kwa mbali, uchumi wao unaweza ku sustain the debt. Lakini nyie ni balaa zaidi kutushinda, ila hatuko sawa vile, but we can sustain, ila kwa machungu, nyie ndege zitashikwa ama msamehewe.,
Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzania hujaiwekea percentage. Umesema ni 55 triliion. Ila ni 43% compare to kenya's 60%
Sent using Jamii Forums mobile app