Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma
Screenshot_20200104-153119_Twitter.jpg
 
We komora usitudanganye kama maprofesa na ma IT na wenye degree na madokta Nairobi wanaishi Kwa slum na kingereza chao itakuwa mashinani

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee!!huaga mnaumwa sana mkiskia wakenya wengi wanathamini kwao...
Km nynyi mmezoea kujenga uswazi dar kw sababu hamna pa kwenda kisa mashinani umaskini umekithiei basi shauri yenu..

Tanzania wachaga kidogo ndio naona wanathamini kwao, na hyo yote inaletwa na mujituma kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom