Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka proof Kenya ikiomba msaada? Nchi zinajipendekeza kutupa chakula kwa interests zao, tunanunua, kwenyu janga la njaa siku litatokea your economy haina muscles ya kuwakomboa, lazima WFP, UN, na Red Cross watawakomboa, mtapewa pesa ya kununua chakula, mko ovyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku Tanzania inaomba msaada wa chakula na dunia ndo itakuwa inaisha.
 
Kuna tower moja tu ile ya mchina,nayo ni under construction

Mingine naona minara tu,ambayo haiwezi kupambana hata na rita tower
It seems you are out of your senses. Let me educate you a bit.
Top 5 Tallest buildings in East Africa
1. Britam tower 200m
2. CBE tower 198m
3. GTC office tower 184m
4. UAP tower 163m
5. Zemen tower 160m

No Tanzanian building in top 5. Three are from Kenya and two from Ethiopia.

Labda useme majengo yenye mnara mrefu zaidi East Africa tutakuelewa
 
Na hilo ni janga kwa taifa, based on your population, national budget vis a vis annual revenue collection. Shida sio ukubwa ama udogo wa deni, ila swali ni can your economy sustain it?
USA has debt almost 100% ya GDP, Japan the same, lakini wako nafuu kutushinda tena kwa mbali, uchumi wao unaweza ku sustain the debt. Lakini nyie ni balaa zaidi kutushinda, ila hatuko sawa vile, but we can sustain, ila kwa machungu, nyie ndege zitashikwa ama msamehewe.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako unaongea vitu ambavyo unatamani viwe kweli badala ya kuongelea ukweli uliopo (pengine pia ukweli huujui).
Ila ngoja nikujuze kitu ambacho nina uhakika 100% ukikiweka kichwani utajakitamka siku zijazo kwa wenzako, ni kuhusu GDP ya TZ.
Ukitaka kuidefine TZ kwa GDP utangoja sana, kuna mambo mengi sana yaliifanya GDP ya TZ ionekane kukua taratibu. Na unajua kwa nini mnajiamini sana kuwa GDP yenu itaendelea kuwa kubwa kwa miaka kadhaa EA? ni kwa sababu once ukuaji wa GDP yako ukirekodiwa kuwa mdogo kwa hata miaka 5 tu, makadirio ya GDP yatakutupa chini sana. Narudia tena, usipoteze muda wako kuidefine TZ kwa GDP ya sasa especially unapotaka kucompare nani mwenye uwezo wa kusimama imara majanga yanapomkuta
 
Foolish argument.

Yaani umejifunza Mandarin in a day...we kijana ni kichekesho sana,unaona yale maandishi ya kiarabu,yale unaweza ukayaweka kwa maandishi hayo uliyoyazoea wewe ABC.. Mandarin takes a time to learn
Watu kama wewe ni wa kupuuzwa Mr. Broken English
 
Hiyo ndo ukweli. Dar is a poor city which should compete with Mogadishu. Nairobi isn't your mate.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi ni slum hub kwa hapa Africa,ina slum zaidi ya hamsini na slum nyingine inaitwa SEGO slum iko karibu na ikulu ina watu zaidi ya 70000
How can it be possible,the city with almost over 50 slums usiwe poor,labda uwadanganye vichaa wa hapo SINA MAKOSA slum
 
Hehehe there is nothing a Tanzanian witch hate like truth. I can show you numerous articles which place Nairobi ahead of Dar but you can't show me even five articles that place Dar is slum ahead of Mombasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimani
images(167).jpg
images(166).jpg
5b.jpg
images(122).jpg
images(146).jpg
images(94).jpg
images(74).jpg
images(73).jpg
images(86).jpg
images(164).jpg
images(165).jpg
images(163).jpg
images(161).jpg
images(50).jpg
YWaMZmq.jpg
2210026_Kilimani2C20Nairobi2020-20Microdrone20-20kilimani20-20nairobi20-20kenya20-20aeri...jpeg
images(170).jpg
images(173).jpg
images(171).jpg
tapatalk_1565445404530.jpeg
 
Back
Top Bottom