ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yani hawa watu bro wasikie tu wana maisha magumu sijapata kuona Africa nzima ila kwenye sifa tu utafurah na roho yako ๐๐๐ yani anaeza mtu anakata roho kabisa anakataa kama ni maskinismh ๐ ๐
View attachment 1312992
